Ziwa Duluti, Arusha

Ziwa Duluti, Arusha

Heeh! we mtu kama nakujua vile ......RIP Yobo, Sitaisahau ile safari, ila ilichangiwa na laana za walimu...
yan bahat mbaya sikuwepo kwenye hiyo safari nilipigiwa sim ikabidi niende mazishini hujnifaham bana japo natamn kukufaham
 
Inauma..kwann sasa aliingia na huku yuko pombe,?dah..maskn wazaz wake
yan na kwao alikua ndio wa kiume aliebakia, halaf hiyo safari walijipangia tu na kuforce kinguvu waende wakavaa uniform walim wakawaambia maadam sie hatuijui hyo safar msije pata matatizo shule ikaingia matatani kwa ujeuri wakavua zile uniforms mbele ya walim wakamtupia hapo kumbe kweli wwnafata balaa ilikua mtiti na walikunywa wengi tu sema ndio kifo kilikua kinamuita
 
Kwa mujibu wa taarifa za kusadikika, inamaanika neno "Duluti" ni jina la mwanamke aliyekuwa akiishi kule ukanda wa meru

Mwanamke huyu alipotea katika mazingira ya kutatanisha, watu walimtafuta kila mahali lakini hawakumpata

Miezi michache baada mwili wake ulionekana katika ziwa hili akiwa amekufa,

Kumbuka hakuna mto au mfereji unaomwaga maji yake kwenye ziwa hili, Maji yanaingia chini kwa chini na yanatokea chini kwa chini

Tukio hili liliwashangaza watu wengi na kubatiza jina la ziwa hili "Duluti"

....

Ziwa hili linapatikana nje kidogo ya mji wa Arusha, kabla ya kufika soko la tengeru ukielekea Moshi... Ni kilometa mbili adi tatu kutokea barabara kuu

Kiingilio kwa mtanzania ni shilingi Elfu mbili, malipo yanafanyika kwa mtandao

Pia kuna utalii wa kuvua samaki na utalii wa kupanda mabehewa (malipo yake ni tofauti na kiingilio)

Pia kwa wale wanaopenda ndege, kuna ndege wa aina nyingi zaidi ya species 200 (aquatic birds pia wapo)

Karibuni sanaView attachment 1162974View attachment 1162975View attachment 1162976

Ziwa lipo Tengeru. Kuna njia mbili ukitokea Arusha. Unaweza shuka sang'isi na kuelekea upande wa kusini, kuna barabara ya vumbi.
Pia unaweza shuka Kituo cha Tengeru, ukafuata barabara inayouelekea Chuo cha mifugo. PAALE KWENYE GETI LA KUINGILIA CHUONI, KUNANJIA KULIA INAYOELEKEA ZIWANI

Vipi wewe uliyelete huu uzi ni ni muhudumu wa watalii katika eneo hili?
 
Hizi maliasili tumepewa na Mungu, wewe na wenzako mnachaji watu pesa kuliona ziwa?
Pale kuna sehemu mbili za kuingilia. Kuna hao wanaojidai matawi ya juu, ndiyo wanaochaji kiingilio, na kuna sehemu nyengine kiingilio ni wewe na miguu yako.
 
yan bahat mbaya sikuwepo kwenye hiyo safari nilipigiwa sim ikabidi niende mazishini hujnifaham bana japo natamn kukufaham
Hahha hahaa hahha hunifahamu ng'oo, ingawa mi nshakufahamu teh teh teh ....
 
yeah akiwa kalewa chakari na ilikua safar ambayo shule haikubariki hivo walienda kinguvu bila uongozi wa shule
Safari zinazohusu sehemu zenye maji huwa kama ukikataliwa kwenda mambo kama hayo yanatokea..
 
Pale kuna sehemu mbili za kuingilia. Kuna hao wanaojidai matawi ya juu, ndiyo wanaochaji kiingilio, na kuna sehemu nyengine kiingilio ni wewe na miguu yako.

Hizi maliasili tumepewa na Mungu, wewe na wenzako mnachaji watu pesa kuliona ziwa?
Wanalipisha kule walipoweka miundo mbinu, lile ni ziwa ni dogo eneo kubwa limezungukwa na vilima/misitu...sehemu ya kuingilia ni upande mmoja tu.

Kwa kujengwa mgahawa pale walau panakuwa eneo lenye uangalizi. Hivyo ni haki kulipa ili kuchangia uangalizi wa ziwa, la sivyo hawa machali wa R wakishapiga 'kitu cha R' wataishia wote kule ziwani.

Hata hiyo njia nyingine unayosema sidhani kama ni rasmi, nakumbuka walikuwa wanazuia, Watu wa maliasili nadhani, ilikuwa ni lazima uingilie kule ulipo Mgahawa.
 
....
....ukizama huko kunashimo linakupeleka Ziwa Victoria😂😂😂😂
 
Ziwa lipo Tengeru. Kuna njia mbili ukitokea Arusha. Unaweza shuka sang'isi na kuelekea upande wa kusini, kuna barabara ya vumbi.
Pia unaweza shuka Kituo cha Tengeru, ukafuata barabara inayouelekea Chuo cha mifugo. PAALE KWENYE GETI LA KUINGILIA CHUONI, KUNANJIA KULIA INAYOELEKEA ZIWANI

Vipi wewe uliyelete huu uzi ni ni muhudumu wa watalii katika eneo hili?
Ni muongoza watalii wa kujitegemea
 
Diluth ni Ziwa limekuwa these days enhe? Me nijuavyo ni bwawa tu ambalo mwanzo halikiwepo liliibuka tu kama chemchem ndogo maji yakawa yanaongezeka tu nadhani some underground channel za maji zilisababisha maana Arusha ni mambo ya kawaida sana even mito ya Arusha inaweza anzia kutoa maji chumbani kwako hadi siku yapotee tu yenyewe... kwa Mfano pale Makumira kuna mto umeanzia hapo Shuleni ndio wanafunzi huogea... na pia kuna vimito vingi hutokea na kupotea... Duluthi ukiogelea usithubutu kusimama utembee kuna tope kali sana na maji yametulia hivyo huesabiwa kuwa ni maji mazito so kudedi ni just a matter of seconds tu
 
Back
Top Bottom