Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,192
- 1,315
Alikua anaitwa ndelao naniKweli asee, Husen Muft, kiwango,ndelao...RIP
Alikua anaitwa ndelao naniKweli asee, Husen Muft, kiwango,ndelao...RIP
Kweli asee, Husen Muft, kiwango,ndelao...RIP
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani kuna siku mwandunga alinipa adhabu ya kusimama na mwembe kisa skuja na daftsr la civics ikawa huyu baba akinisemesha nashindwa kujua anapoangalia hahahhaaYap yule alikua na makengeza flan hivi
wanasema lina chunusi alizama siku nzima ikabidi walinzi wa hapo wawaondoe wenzetu kinguvu sababu waligoma kutoka mpaka wauone hata mwili ajabu alikuja ibuka kesho yake
Lini unakuja nikupokee?Asante tutakuja kutalii
yani muda bado wa yeye kushika physically mamba kenge na nyoka?!..Muda bado, muda ukifika vyote hivyo utaviona na kivishika physically, pako powa sana hapo ila inabidi uweze kuendesha mtumbwi
We ndo unapokea wageni?Lini unakuja nikupokee?
Hahha nakumbuka ile siku ....nakumbuka tukiwa form 2 , Mwandunga alikuwa anapita kwenye kibaraza akawa anaongea na mwalimu mwenzie, akamuuliza kwa nguvu Wapiiii....mtu mmoja darasani akaitikia " Dar mpaka Moro". Zilitembea fimbo hizooo....ila watu hakumtaja duuuh , raha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kuna siku mwandunga alinipa adhabu ya kusimama na mwembe kisa skuja na daftsr la civics ikawa huyu baba akinisemesha nashindwa kujua anapoangalia hahahhaa
[emoji23][emoji23][emoji23] kivipi sasa akati aliibuka kesho yakeDalili za mamba hizi
Hapana,ila ni mwenyeji.Usije kuingizwa mjini na machalii.We ndo unapokea wageni?
ohooo asante.Hapana,ila ni mwenyeji.Usije kuingizwa mjini na machalii.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana mkuuHahha nakumbuka ile siku ....nakumbuka tukiwa form 2 , Mwandunga alikuwa anapita kwenye kibaraza akawa anaongea na mwalimu mwenzie, akamuuliza kwa nguvu Wapiiii....mtu mmoja darasani akaitikia " Dar mpaka Moro". Zilitembea fimbo hizooo....ila watu hakumtaja duuuh , raha sana
Alikuwa Vilet nimekumbuka , ila watu hatukuntaja licha ya fimbo za mgongo kutembea darasa zimaHahha nakumbuka ile siku ....nakumbuka tukiwa form 2 , Mwandunga alikuwa anapita kwenye kibaraza akawa anaongea na mwalimu mwenzie, akamuuliza kwa nguvu Wapiiii....mtu mmoja darasani akaitikia " Dar mpaka Moro". Zilitembea fimbo hizooo....ila watu hakumtaja duuuh , raha sana