Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
- Thread starter
- #21
Saivi hakuna ruhusa kuogelea tenawanasema lina chunusi alizama siku nzima ikabidi walinzi wa hapo wawaondoe wenzetu kinguvu sababu waligoma kutoka mpaka wauone hata mwili ajabu alikuja ibuka kesho yake