Ziwa Duluti, Arusha

Ziwa Duluti, Arusha

Daaah madam nimekujua pole sana ......mi spend tujuane .....maana raha ya huku ni kutojuana, unaeza kuta unamshushiaga madongo mzee wako bila kujua
subutuu hujanifaham hata robo yan nina asilimia mia 😝😝😝
 
Nimekumbuka mwaka 2000 na 2001 zilikua pande zangu za kula bata.
 
Wanalipisha kule walipoweka miundo mbinu, lile ni ziwa ni dogo eneo kubwa limezungukwa na vilima/misitu...sehemu ya kuingilia ni upande mmoja tu.

Kwa kujengwa mgahawa pale walau panakuwa eneo lenye uangalizi. Hivyo ni haki kulipa ili kuchangia uangalizi wa ziwa, la sivyo hawa machali wa R wakishapiga 'kitu cha R' wataishia wote kule ziwani.

Hata hiyo njia nyingine unayosema sidhani kama ni rasmi, nakumbuka walikuwa wanazuia, Watu wa maliasili nadhani, ilikuwa ni lazima uingilie kule ulipo Mgahawa.
Umeeleza vyema mdau, ila mm nilijaribu kuelezea uzoefu wangu wa 2017. Nilienda pale na shemeji yako mdogo, alikuwa anasoma pale Makumira.
 
Hili ziwa linaonekana halina beach zenye kichanga...!

Ni volcanic lake, beautiful place. Ila ni hatari sana kama sio mzoefu kwani kina kinaweza kubadilika ghafla. Enzi hizo tulikua tunasema kuna 'chunusi' anavuta anawanyonya damu hadi wanakufa. Kumbe ni mikondo ya maji na kubdilika kina ghalfa.

Wanaweza kufanya itafiti wa kujua uwiano wa kina cha maji na sehemu zenye ufulwe salama na pia mikondo ya maji na majira salama. Sonar techlonoly inaweza kutumika...

Anyway pengine utafiti umeshafanyika ila wengine hatuwa aware bado.
 
Kule wilaya ya rombo mkoani Kilimanjaro mpakani kati ya Kenya na Tanzania kuna ziwa linaitwa ziwa chala halina mifereji ya kutoa na kuingiza maji na hayapungui lina kina kirefu sana na kina chake ni cha papo kwa hapo yani hatua 3 maji shingoni sehemu nyingine lipo kama chungu halina mamba ila nyoka ni kama wote, kutoka usawa wa juu had uyafikie maji ni kama 0.5km inasemekana limeungana na ziwa jipe chini kwa chini ni ziwa hatari huko akuna kuokolewa ni kuopolewa
 
subutu hujanifaham hata robo wewe labda uwe madole loh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe
Hahhah umenikumbusha madole , daah hivi yupo wapi yule mshikaji, long time sana ....ila nyie Jezi jezi za kijan mlikuwa mmelaaniwa
 
Hahhah umenikumbusha madole , daah hivi yupo wapi yule mshikaji, long time sana ....ila nyie Jezi jezi za kijan mlikuwa mmelaaniwa
😂😂😂😂😂😂😂 mado yupo nahisi dar niliwasiliana naye muda kidogo halaf una habar kuna classmates wawili wakaoana kabisa? We acha ile sare na nasikia mr njau alikataa irudiwe sijui kama kuna darasa waliwah irudia yan nimekumbuka mbali leo
 
Back
Top Bottom