hahaha
inasemekana
kuna mzungu na farasi wake walizama pale tindigani kimandolu
siku mbili baadaye wakaja kuibukia yeye na farasi wake ziwa Duluti siku ...
Mwaka gani mkuu?Diluth ni Ziwa limekuwa these days enhe? Me nijuavyo ni bwawa tu ambalo mwanzo halikiwepo liliibuka tu kama chemchem ndogo maji yakawa yanaongezeka tu nadhani some underground channel za maji zilisababisha maana Arusha ni mambo ya kawaida sana even mito ya Arusha inaweza anzia kutoa maji chumbani kwako hadi siku yapotee tu yenyewe... kwa Mfano pale Makumira kuna mto umeanzia hapo Shuleni ndio wanafunzi huogea... na pia kuna vimito vingi hutokea na kupotea... Duluthi ukiogelea usithubutu kusimama utembee kuna tope kali sana na maji yametulia hivyo huesabiwa kuwa ni maji mazito so kudedi ni just a matter of seconds tu
Hilo soko lipo Patandi Tengeru ni kule chiniYap me nilizungumzia tengeru sokoni.. Pale kwenye kituo cha magari
Alikuwa ni muhifadhi mkuu amestaafu mwaka jana[emoji4]Aliyekupa hiyo historia amekudanganya.
Aisee.. Kwaiyo ziwa lipo wapi?Hilo soko lipo Patandi Tengeru ni kule chini
Ilikuaje?Kuna classmate mwenzangu alifia hapo jamani ni siku chache kabla ya matokeo kutoka r.i.p yobo
Nataka kwenda hapo mkuu... Saivi nipo rombo mashati... Nataka kwenda ilo ziwa chala na baadae nitaenda jipeKule wilaya ya rombo mkoani Kilimanjaro mpakani kati ya Kenya na Tanzania kuna ziwa linaitwa ziwa chala halina mifereji ya kutoa na kuingiza maji na hayapungui lina kina kirefu sana na kina chake ni cha papo kwa hapo yani hatua 3 maji shingoni sehemu nyingine lipo kama chungu halina mamba ila nyoka ni kama wote, kutoka usawa wa juu had uyafikie maji ni kama 0.5km inasemekana limeungana na ziwa jipe chini kwa chini ni ziwa hatari huko akuna kuokolewa ni kuopolewa
LakeZiwa au bwawa
Ziwa lipo Tengeru wewe unasema kabla ya kufika Tengeru.
rejea comments mkuuIlikuaje?
Nimeona title tuu nikawa nakumbuka kama kuna mwanafunzi aliwahi kufariki hapo sema sikumbuki story...
Eti huyo ni kilazaZiwa lipo Tengeru wewe unasema kabla ya kufika Tengeru.
Kumbe unajua kiswahili... AiseeEti huyo ni kilaza
Ukipanda gari ukiwaambia nishushie duluti, wanakushusha vizuri tuuNadhani mnapaswa muwape direction kuwa wanafika kituo cha basi kiitwacho saksi au njia ya kuelekea chuo cha kijeshi.
Ukitokea town ni kulia kutokea moshi ni kushoto.
Hamna hiyo kitu asee labda kama mgeni na umesahau jina la kituo, maana duluti inatumika kwa vitu mbalimbali.Ukipanda gari ukiwaambia nishushie duluti, wanakushusha vizuri tuu
Chini tope huenda alinasawanasema lina chunusi alizama siku nzima ikabidi walinzi wa hapo wawaondoe wenzetu kinguvu sababu waligoma kutoka mpaka wauone hata mwili ajabu alikuja ibuka kesho yake
Wapo. Na kuna uvuvi mdogo mdogoJe samaki wanapatikana katika ziwa hili?
Naam nimekupata leondio mkuu