Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

Ungeweka picha mkuu ingekuwa vema mkuu. Ndevu bila matunzo safi ni uchafu.
 
Ndevu ni ishara ya kujiamini kutoka ndani.
Asiye na ndevu ajiandae kuvaa gauni kwani ni watu wasiyo jiamini.
 
hahahahhahaah 1/4 yule jamaa lazima ziko nusu unazan hana muda wakujiswafi ? no anajiweka kizee ili ashike wanga
 
tuache mawazo mafupi.....kwani kuwa smart ndiyo kuleta mabadilko?.
 
Nimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo letu kubwa ni kutopenda kukerwa dhidi ya utashi wetu hata kwenye suala timilifu ambapo mja akizungumza hata kama ni la logic lakini kwa vile hatulipendi jambo hilo basi humshambulia msemaji kwa maneno makali.
Pinga kwa hoja ndugu yangu.
 
Hi Post Ingependeza Km Mtoa Mada Atakua Mwanamke Otheryz Mtoa Mada Ajitafakari. Labda Angesema Mavazi, Lkn Vtu Km Ndevu, Garden Love, Six Au 4 Packs Waachie Madem Zake Aisee. Unaonekana Una Shda Kdogo Sema Hujijui Tu. Maustaadh Wengi Wanafuga Inamaana Ni Wachaf Au Unatukana Dini Flan? Ni Sawa Na Kumng'ang'ania Mwanaume Mwenzio Akakatwe Suna Wkt Halikuingii Ww. Hata Yesu Kristo Aliishi Na Midevu Na Alikuwa Msafi Tu, Hata Mababu zetu Walikua Hawanyoi, Chunguza Jamii Ambazo Bado Znaish Kijima Mf. Wahazabe, Wasandawe Ndo Utajua. Mengine Zlikua Tamaduni Tu Za Kizungu Japo Hata Wao Wapo Wanao Fuga. Mf. Rooney Alipokuja Mbona Hukumshauri Anyoe?
 
Tatizo unamfananisha zito na watu ambao waliishi hivyo miaka yao yote. Zito hatujamfahamu leo na muonekano wake Siku zote unafahamika ni wakutofuga mindevu. Angekuwa alijiweka hivyo toka zamani wala hii maada isingekuwepo, kama kuna watu wamemshauri kuwa kupitia kufuga mindevu ndio uzalendo au ndio uanaharakati wamempotosha. Sisi tunamuelewa zaidi akiwa smart yaani hana ndevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman Hv Cc Wengine Tumesoma Shule Wap? Kuna Uhusiano Gan Kati Ya Ndevu Na Smartness? Hata Km Ulimzoea Akiwa Hana Ndevu, Ndo Kaamua Ss Aanze Kuishi Na Ndevu, What's The Problem? Maswala Ya Kusema Unavutiwa Na Mtu Akiwa Hv Au Vle Haya Mambo Yapo Kwa Kna Dada Kutokana Na Saikolojia Yao, Co Ktu Kigeni Wanawake Kuambiana Dia, Nakupenda, Darling, Sweet Nk. Mwanamke Ukimwambia Umependeza Atafurahi Lkn Mwanaume Atachukulia Kawaida Na Ha Acpo Pendeza Haitamzuia Kufanya Mambo Yake. Ndo Mana Ukifuatilia Comment Nyingi Humu Za Wanaume Wanaona Isn't A Big Deal, Ndivyo Wananaume Walivyo. Na Mwanaume Aliye Kamilika Na Kujiamini Hafanyi Vitu Ili Kupata Atention Kwa Wanawake, Labda Km Ndo Anabalehe. Wanawake Wapo Kwaajir Ya Wanaume Ila Wanaume Hawapo Kwaajir Ya Wanawake.
 
Nimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu jamaa ni mchafu kweli, na ile in sababu, amembiwa kwako inaonekana ...
 
Back
Top Bottom