Mbuyimayi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 577
- 1,163
Hata picha za yesu alikuwa anafuga ndevu na pia anavaa kanzu ..na yesu anasema jitieni nira yangu na mjifunze kwangu....sasa leo kufuga ndevu unakuita ujinga....hahaha yaani siku hizi kuwa mkiristo maana yake ni kupinga wanavyofanya waislamu hata kma biblia imeandika huwa mnavikana so long waislamu wana pracise hiko kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuongezea tu hapo kwa wanao amini 'Jews' ni wateule mbona pia ufugaji wa ndevu ni kama sehemu ya utamaduni wao
Kikubwa ndevu kwa wafugao ni kuziweka vizuri tu ku 'trim' mara kwa mara na sio kama ndevu za wapigania uhuru zilivyokuwa,
Kwa ufupi mashariki ya kati karibu wote wana utamaduni wa kufuga ndevu (Moslem &Jews) na pia inawezekana ni sehemu ya iman zao