Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

Mchafu kwa kweli,nadhani kwapa na vzi ndio pori la serengeti
 
Ibada ya kubeba mawe Afrika kwenda kumtwanga mawe Uarabuni. Ila sio fair aisee. Ngozi nyeupe wajanja sana wanatuumiza huku wanatuchekea kwa ujira wa pakiti ya Tende
UMEONA HILO TUU! FICHA UJINGA BASII!
 
Ibada ya kubeba mawe Afrika kwenda kumtwanga mawe Uarabuni. Ila sio fair aisee. Ngozi nyeupe wajanja sana wanatuumiza huku wanatuchekea kwa ujira wa pakiti ya Tende
Kutopenda ndevu ni dalili ya muathirika wa kusagwa hata babu yako ambaye hakua na dini hizi aliheshimu udume wake nakuwa na ndevu
 
Hakika hata mie ananikera,muonekano wake umekua ni mbaya na anaharibu heshima nzima ya wabunge wenzie maana wao ndio tulitarajia wawe na muonekano wa kupendeza ili vijana wajifunze kwao lakini yeye ndie amekua kama fundi Cherehani wa ujiji sokoni, kiufupi ana mdharirisha mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha?
 
ef1c8c7b6b27a206717e15a3deeb265e.jpg

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Nimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
we mwanaume unamuanzishia kabisa mwanaume mwenzio uzi wa eti kuwa ndevu zake zinakukera,come on, thats mad suspect.
 
Mtoa mada ungeongelea maswala ya misimamo isiyoeleweka ya huyu ndumila kuwili lkn ndevu ni ishara ya udume wacha kuchanganya mambo ambayo haya husiani
 
Wenyewe watakuambia ibada.... Imani nyingine ujinga mtupu..
Ndevu zilizo kwenye kidevu cha mwanaume mwengine zinakukera nini?,its a free country ukiamua una fuga ukiamua unanyoa,ukiamua kupaka super black wevu blichi shauri yako,na uwaache na wenzio waishi maisha waliyoyachagua
 
Hakika hata mie ananikera,muonekano wake umekua ni mbaya na anaharibu heshima nzima ya wabunge wenzie maana wao ndio tulitarajia wawe na muonekano wa kupendeza ili vijana wajifunze kwao lakini yeye ndie amekua kama fundi Cherehani wa ujiji sokoni, kiufupi ana mdharirisha mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mkewe ndo anamwambia afuge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom