Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

Acha kufatilia mambo yasiyokupa faida/furaha yoyote maishani.

Muda unautoa wapi wakufatilia maisha ya mtu tena kitu kinachoitwa ndevu...na kama wewe ni njisi "Me" utakuwa na matatizo makubwa.
wee jifanye upo busy wakati huna lolote. Ukiwa Jf tu maana yake na wewe ni mfuatiliaji wa mambo yasiyokupa faida. Halafu punguza kukalili jifikirishe hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika hata mie ananikera,muonekano wake umekua ni mbaya na anaharibu heshima nzima ya wabunge wenzie maana wao ndio tulitarajia wawe na muonekano wa kupendeza ili vijana wajifunze kwao lakini yeye ndie amekua kama fundi Cherehani wa ujiji sokoni, kiufupi ana mdharirisha mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
mkewe yupi au huyu aloleta uzi!!! hivi ndevu zake zina athari gani kwa mustakabali wa wapiga kura wake?
 
wee jifanye upo busy wakati huna lolote. Ukiwa Jf tu maana yake na wewe ni mfuatiliaji wa mambo yasiyokupa faida. Halafu punguza kukalili jifikirishe hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifanyie upembezi yakinifu na ujipitie upya..

Wewe unafatilia vitu vidogo-vidogo tena visivyo kupa faida/furaha au kukuongezea maarifa.

Unafatilia ndevu za mwanaume..? huu si ni uzwezwe...?

Nyinyi ndio mnapaswa mpewe darsa.
 
Nasikia nawe wafwata darsa la kufuga ndevu chafu chafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifanyie upembezi yakinifu na ujipitie upya..

Wewe unafatilia vitu vidogo-vidogo tena visivyo kupa faida/furaha au kukuongezea maarifa.

Unafatilia ndevu za mwanaume..? huu si ni uzwezwe...?

Nyinyi ndio mnapaswa mpewe darsa.
Kama unafatilia wanao vaa mlege/ kata k. Sembuse mm kufuatilia uchafu wa ndevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2017-07-29-14-56-14.png
    Screenshot_2017-07-29-14-56-14.png
    102.1 KB · Views: 30
Kama unafatilia wanao vaa mlege/ kata k. Sembuse mm kufuatilia uchafu wa ndevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakandanda!!!
Karibu kwa kambumbu...hao wanavaa legeza uwanjani pale tuwatazamapo na wanasakata kandanda kweli kweli na wanatupa burani tosha ya mchezo.

Sasa wewe huo uchafu wa ndevu unaozungumuzia wa bwana huyu umeuthibitisha wapi...?
Au unaona ndevu kuota pasipo kubughudhiwa unaona ni uchafu ...?

Au mwenzetu unaishi naye chumba kimoja...?
 
Mwanasiasa maarufu tanzania huyo. Tena tambua huyo ni public figure hatuwezi kumuacha awe mchafu kiasi kile. Ndio maana hata wewe unapofuatilia kabumbu yule anayekosa goli ndani ya kumi na nane lazima huwa anakukera. Ndivyo mm nilivyokereka na mindevu iliyo shaghalabaghala kwa mwanasiasa maarufu na mwenye heshima ndani na nje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika hata mie ananikera,muonekano wake umekua ni mbaya na anaharibu heshima nzima ya wabunge wenzie maana wao ndio tulitarajia wawe na muonekano wa kupendeza ili vijana wajifunze kwao lakini yeye ndie amekua kama fundi Cherehani wa ujiji sokoni, kiufupi ana mdharirisha mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa najaribu kujua kama wanaokubaliana na hoja hii ni jinsia ya ME au KE kwani inategemewa wengi watoke kwenye jinsia ya KE, hebu tujaribu kuona kama hili ni kweli.
 
Inawezekana akitoka maliwatoni huwa hanawi maji
 
Nilikuwa najaribu kujua kama wanaokubaliana na hoja hii ni jinsia ya ME au KE kwani inategemewa wengi watoke kwenye jinsia ya KE, hebu tujaribu kuona kama hili ni kweli.
Mimi ni mwanamke na siwezi kumuacha mume wangu atoke mchafu mchafu vile Mbele ya media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemfuatilia sana zitto hivi karibu nikagundua kuwa anakuwa rafu sana hasa katika upande wa ndevu. Naomba kwa walio karibu nae wamwambie kuwa mimi ananikera sana, hata kama yupo bize kwa hili hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimaanisha kuwa Ndevu ni Uchafu utakuwa unamtusi waziwazi Mtume Muhammad (S.A.W)

Naam na Maswahaba wake.
 
Hakika hata mie ananikera,muonekano wake umekua ni mbaya na anaharibu heshima nzima ya wabunge wenzie maana wao ndio tulitarajia wawe na muonekano wa kupendeza ili vijana wajifunze kwao lakini yeye ndie amekua kama fundi Cherehani wa ujiji sokoni, kiufupi ana mdharirisha mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkewe alikuambia kuwa anadhalilishwa?
 
Back
Top Bottom