VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa kimya. Nini kinaendelea kuhusu suala la mabilioni ya Uswisi. Nini/nani aliyekunyamazisha? Si vibaya ukatudokeza.
cc Zitto
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
cc Zitto
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam