OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Unasema siasa za faida kwa taifa? Hahaaa kwahiyo Zitto kupiga hela za lumumba na kuihujumu chadema ni maslahi kwa taifa?
Zitto ni laana katika nchi hii..
Zitto ni takataka hata nzi anaogopa kutua..
Hahahaa tunandaa na acid kabisa tusione hata mifupa ya huyo msaliti mchumia tumbo!!
Kweli kabisa mkuu Ifweero,Chadema wanachuki na Kigoma walianza na Kaburu,Kafulila,Zitto na sasa wanamsulubu Ntagazwa.
Zitto kwisha habari yakeee.....
Hatutaki laana katika Chama chetu cha Chadema...
Genius??? Hahaaa tunamtupa nje, haya muokoteni awasaidie kwa u genius wake
Mbaruku anambwaga mbowe .
Mwambie huyo laana ZZK akafie mbele....ZZK keshapoteza dira na mwelekeo....Hahahahahahahaha
Yericko yaani ka uchaguzi kadogo tu ka chadema kigamboni umepigwa chini? Sasa ni uchaguz gani hapa duniani utashinda?
Ataongoza chadema ya baba ake sio hii ya watanzania wanao jitambua
We ni wa kupuuzwa tena ni tahiraaa kabisa,yafaa uwe milembe,hujui hata ukoo wako kila siku kujiita ndugu wa Nyerere na wanakukataa,we ni nani Chadema mpaka uzungumze hayo? Wenye Chadema wenyewe wanaliogopa hilo jina la ZZK..nenda kwa Mzee Yusuph akupe nafasi ya kuimba taarabu
Zitto ni chuma cha reli ya mjerumani kilichoshindikana kwa sumu,ajali na hata kwa nguvu za giza toka kwa wahafidhina,zitto ni zaidi ya misukule yoooooote ya ufipa+wahafidhina wao.
Mtachonga sana kuhusu Zitto lakin ni sawa na kuukimbiza upepo.nyambafffffffff!
...wapo marais walishindwa uchaguzi mara saba na bado walikuja kuwa rais,jk alishawahi kushindwa lakini leo ni rais. Jifunze uhalisia wa politics kabla hujaongelea siasa...
Jiandaeni kumpokea rasmi huko kwenye kijiwe chenu cha ACT
Mbaruku ndio mwenyekiti wa chadema, Mbowe tupa kule..hahaha team mbaruku
Ataongoza chadema ya baba ake sio hii ya watanzania wanao jitambua
ACT!! Hilo genge la wahuni ambalo limeshajifia..?