Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Jiandaeni kumpokea rasmi huko kwenye kijiwe chenu cha ACT

Kama una uhakika na mipango yenu kelele za nini sasa ndio maana unafananishwa wa wamama wa mipasho!!!! Siasa za kuandamana kwa majina how come enzi hizi.

Hivi we kama kijana na kwenu kuna uchaguzi una nini cha kusaidia viongozi wachanga ili kesho tupate watu shupavu kwa Taifa??! Hii ndio type ya siasa za vijana wanaoona mbali, badilika uwe mentor wa vijana wenzio!!!

Una kelele sana haswa linapokuja suala la huyo hasimu wako, mara polisi, mara umetishwa kuuliwa sijui yaani ni kama unatumia jina lake kubaki unasikika vile!!!! Au sijui unatumiwa kuchafuana tu bila mpango!!??

Kuwa kijana wa kisasa mkuu fanya siasa za faida ya Taifa hii kufuatana kama mikia haina faida kwa Taifa, kama mna uhakika ni mtu wa hovyo chamani wekeni mikakati mtoeni shughuli iishe!!!! Ajenda za kujenga zitamalaki sio leo hivi kesho vile kuhusu mtu mmoja tu!!! Ametutoka baba wa Taifa na maisha yanaenda mbona kama vipi mna uhakika na mmejiridhisha mtoeni naye huko chamani huu wimbo uishe!!!

Unachosha kiaina
 

Mkuu, boss wenu ameshatishia kuwapokonya tablet zenu kwa tabia ya kujadili watu badala ya hoja, zoezi hilo litaendana na kupokonya ID za chama.
 
Last edited by a moderator:

Vema sana, sasa aende hukohuko akayafanyie hayo mambo huko huko, ndani ya chadema tumesha delete kabisaaaa
 
Zitto ana akili kuliko wanachama na viongozi wa kitaifa wa chadema
 
ukikurupuka huwezi muelewa zitto, anajua kutumia interview vizuri.
 

Unasema siasa za faida kwa taifa? Hahaaa kwahiyo Zitto kupiga hela za lumumba na kuihujumu chadema ni maslahi kwa taifa?
 
Teh!Msukule unaotafuta umaarufu kupitia jina la genius.Utaishia kupata umaarufu humuhumu jf lakin uraiani hata jirani zako hawakutambui!Nged..ere kasoro mkia.

Mkuu,Chadema mtaani kwao kigamboni wamemtosa, Tatizo njaa imemzidi anataka hata mbowe amkumbuke kumbuke kwa kumjadili zitto huku.
 
Huyu jamaa hamna siku amejadili hoja yenye mashiko kwa Taifa.. Yeye anataja watu tu
Mkuu huwezi kutoka kupitia kwa ZZK labda uwe shemeji yake
 
Wewe ni mropokaji na wala Zitto si size yako na kama wamekutuma wambie waje wenyewe!

Hivi unajua kuna shauri liko mahakamani?
 
Huyu zzk ameshabaki historia tu , nawashangaa sana nyie mnaomfungulia threads kumfanya asikike humu. mnaudhi sana.
 
Genius??? Hahaaa tunamtupa nje, haya muokoteni awasaidie kwa u genius wake

Genius ni wewe ambae haujawahi kupewa hata nafasi ya kusalimia kwenye mikutano ya chadema, Utaendelea kutumika mitandaoni wenzako wakina mtoi wanapiga pesa tu .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…