Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Dear Zitto,

My brother and my Friend. It is time to do what your heart tells you to do. Do not follow the popular push from the mob. Seeking reconciliation is much better than waging wars. This is time to reflect and come to terms with the reality and the reality is Tanzania needs you to continue with the fight, the fight within the confines of Chadema. Tanzania needs quick change and it has to happen within 5 years. Strategically starting a new party wouldn't move our dreams of change to reality it will push them further a distance more. There is no harm to sit down with Mr. Mbowe and the rest of the key leaders of chadema and reconcile and move back to the agenda of redeeming our country.

Dear Mr. Mbowe,
In politics there is no permanent enemy, we have permanent goals. As long as the goals are aligned we have to move together. I entreat you to meet with the young man and try to resolve the challenges between him and the party. Tanzanians would still want to see the energy combined to topple the corrupt party CCM. We are not interested in the arduous and long court process. It won't solve the problem, it might even prolong it. You guys can forgive each other and move on. We need Chadema as a formidable force to get our hopes back.

It is upon you guys to move above your egos and truly make decisions for the good of this country.
 
Pokea like mkandara.

Pamoja ya Kwamba sikuweza kuhisi kabla Kwamba zito na mbowe wanagombanishwa kwa makusudi, lakini siku zote nimekuwa na nineendelea kusimamia Kwamba zito si msaliti wa cdm. But very unfortunate, kutokana na ukweli Kwamba jukwaa hiki Lina watoto wengi Sana, wamekua wakiishia kumtukana zito na wale wanaoonekana kumtetea as if mbowe ni malaika.
 
chadema gari kubwa, kila mtu anatamani kupanda.Hata Paul Makonda anatamani kuendesha
 
Wanasiasa bwana. Wiki hii tutashuhudia mengi; Ukisoma mada hii kwa makini unatambua hili. Kujuta kidogo, lawama kidogo, kujikweza kidogo, kashifa kidogo, kejeli kidogo, malalamiko kidogo n.k.! Bado ni mwanasiasa tu anayefikiria atarejea kama alivyokuwa Mahathir Mohamed- Zitto's role model.
 
Kambwege ----- fulani tu hako......anatia kinyaaa huyo.
 
Siyo kwa wanasiasa. All of them think they are better than the other and also thinks if it was not for 'him' CHADEMA would not have been where it is now!
 

nahisi lisu atakuwa kikwazo kwa mbowe na zitto kupatana.
 

well said. tuwaombee MUNGU wapatanishwe. Lisu asiingilie.
 
Too late! hakuna aliye juu ya CHADEMA. Na bado atajuta sanaa..
 

unaongea kwa niaba ya msaliti
au ndio mambo ya Multiple ID
zana za kilimo is no more,atuondolee ubnafs hapa,km ni wewe mwenyewe utuondolee ushenz wako
 
well said. tuwaombee MUNGU wapatanishwe. Lisu asiingilie.

Sisi kama wanachama wa cdm hatuwezi kukubali hao wasaliti warudi kwenye chama chetu.tulisha wadelete na hatuwahitaji,waendelee kuimarisha genge lao la act tu
 

Endelea kuota ndoto za mchana,kama kusoma hujui ina maana hata picha zimekushinda? Hivi huzioni hizi movement za masalia au wafuasi wa zitto dhidi ya cdm? Ni lini kajitokeza hadharani kuwakana hawa mchange,nyakarungu and co'z? Pole sana kwa kukubali kuwa msukule wa zzk!
 
unaongea kwa niaba ya msaliti
au ndio mambo ya Multiple ID
zana za kilimo is no more,atuondolee ubnafs hapa,km ni wewe mwenyewe utuondolee ushenz wako

Mkuu nakupa tano,hapa naona kumejaa mawakala wa shetwani wakijaribu kumsafisha pepo mchafu akubalike paradise!
 

salute, salute, salute

Muungwana ni vitendo and you have put it right where it needs to be

wamalize shida zao
 
ukitafakari ujue wafadhili chini ya Act program wamekuwa hawaeleweki kama mwanzo njia panda anataka arudi alikosaliti atajibeba na uyudanism
 
Hapa kuna watu ambao kimsingi ni hao hao mawakala wa shetani ccm wanadai eti MM alikuwa anakubalika kwa wajumbe wengi wa baraza kuu,hivi wanajua gharama za kuitisha baraza kuu? Yaani chama kiache programme zake na oparesheni zake kitumie gharama kubwa kumjadili msaliti? Baadhi Majukumu ya baraza kuu yalikasimishwa kwa cc ili kupunguza matumizi yasiyo na msingi kama hayo ya kujadili mamluki.
 
Haya yote yanakuja leo kwa nini? Uchaguzi tar 14/09 au kutafuta maridhiano? Juzi tu zzk ameweka wazi maono yake kujiunga chama kipya na atatia support kwa mgombea mwenye sifa anazozitaka yeye....asipompata atagombea yeye (37 years) sijui kwa katiba ipi! Mliomsiki star tv, hayo ndo yalikuwa majigambo yake....tena ktk hali ya majivuno na kiburi .

Nilimpenda, nilimshauri, nilimsikiliza....nikagundua si mwanasiasa mzuri...bali mjaja na mwenye kufaidi adhira kwa kutumia akiri zake. Atawafaidi watu wa kigoma!
 
Kwa Hiyo Kama haafikirii kuhama Chadema ..tumuelewe kuwa Wafitini ni Kina ...Kitila Mkumbo...na wenzake...wa ACT?

mkuu hapana "wafitini" ni "mabilioni ya dear wa ujerumani"

lakini hapana "wafitini" walihack acc yake facebook na wakaandika "namtaka mama yao siwataki vifaranga"

haiwezekani "wafitini"walimsingizia yeye sio "mm"

itakua nimesahau "wafitini"walimchongea kwa mbowe asimnunulie "chips" tena

hapana "wafitini" walimsaidia kwenda mahakamani sio yeye aliyefungua hiyo kesi

hawa "wafitini" hawa sio wazuri kabisa hatA ule mkutano wa "serena" wafitini ndio waliouandaa yeye hajui kabisa kuhusu ule mkutano

"wafitini"sio watu wazuri kabisa wanamsingizia zzk wa watu

inahitaji moyo mgumu kumuamini huyu mtu

siku hizi zzk hapa jf hana tofauti na le mutuz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…