Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi


Na wewe je una analyse kwa kutumia model gani?ya usalama wa taifa maana nimesikia kuwa wewe ni usalama wa taifa na ninvyokuona behaviour zako siku chache kabala ya uchaguzi bavicha na baada ninaamini kabisa. Kabla ulikuwa unampiga vita Zitto leo hata akosee vipi unamtetea kweli kweli.Kama kweli mnampenda mnapaswa kumshauri vizuri sio kumsifusifu hata pasipostahili.Acha unafiki ili mumsaidie mwenzenu vinginevyo mtamharibu.Zitto hana washauri wazuri waliomzunguka mnapambana mno.
 

huwa nampinga zitto na hoja zake mara kwa mara ila kwa hili la viti maalum ni janga la kitaifa, maana huwa wengi wao wapo pale kama show off lakini wengi wao hamnazo( nasema viti maalum tu)
 


viti maalumu vinawapa shida sana.mwaka jana mlitaka kuchomeka watu wenu baadae akaja mwanamtandao wenu dr.kitila mkumbo akajaribu lakini bado maslahi yenu ya kimtandao mlizingatia.baadhi yenu mna mahawara huko,tumekaa kimya tu tunajua.Leo hii unakuja na hoja za kiujanja janja za kufuta viti maalumu.ule mjadala wa jana jinsi mlivyoingia timu nzima wewe,kitila,zitto na nyakarungu ni lazima uwagharimu tu.nendeni mkagombee nccr mbadili muundo huko.hii hoja ya kufuta viti maalumu achana nayo,hebu eleza msimamo wako kuhusu matamshi ya zitto dhidi ya viti maalum
 

mwache aendelee na jeuri yake.sijui anajiamini nini.si pengine walikuja kuunganishwa na jack zoka
 
Hivi nyie wabunge wa viti maluum, tukimwacha Regia Mtema ambaye kwakweli pamoja na ulemavu amepigana kiume na asingechakachuliwa angeibuka kidedea...

Ni maslahi yapi nyie mnatetea ?..mbona mmekaa kimipasho ? Kwanini hoja haijibiwi na hoja ? Mimi naona u guys are hanging ur dirty linens hapa...

Hebu rudini kwenye chama mjipange upya kama mna tatizo na zito & co simply call him up and discuss it, maana mnavitetea viti maalum @ the expense of divulging dirty secrets!
 
Mwenye majina ya wabunge wote wa viti maalum kupitia chadema/picha zao,namuomba ayaweke hapa


hayo majina na picha zitakusaidia nini? jadili mada nasiyo picha na majina yao... maana mnataka kuibua mjadala mwingine
 

Mkuu siungi mkono remark aliyotoa Marytina. Na kama naye ni bunge atakuwa ana matatizo. At the same time, siungi mkono response ya Mh Zitto. Condoning Hon Zitto's response is condoning Marytina's remarks and vice versa. Soma maelezo yangu kwenye post ya 78.
 
first lady

unapotumika, hakikisha unajua kilicho mbele nje ya yale maelewano ya compesation

miss parliament ni direct popo shibuda, and with you joining the crib, i can easily know how you started being involved

i love tourist season
 

Kwenye jumuia yoyote (hata kwenye family level), makundi ni inevitable (hayakwepeki). Cha msingi ni how successfully one manages them.
Now, a million $ question is...is Chadema a better 'situation manager' than CCM??
 
acha wivu wewe,vaa sketi nawewe ili uzawadiwe ubunge kama ubunge unazawadiwa.wacha vitimaalum viwepo ili nasisi tunaotaka kuingia tuupate.abarkiwe aliyeleta wazo la vitimaalum.mtapiga kelele habari ndio hiyo.hilo ni takwa la sadc.wivu tu..

haya ndiyo maneno ya mtu aliyeteuliwa kuwa mbunge wa hivyo viti maalum!!! Zawadi haichagui mpokezi...!
 
umekumbwa na nini dogo???
 

Labda mimi ningemshauri tu Zitto kitu kimoja, atafute ID nyingine, ili awe anatumia akiwa na hasira. Lakini akijibu kama Zitto wa ukweli, hatuwezi kumhurumia eti kwa sababu ya hasira. Eti dawa ya moto ni moto! Maana akitumia ID ya Zitto haongei kama Zitto tu bali Naibu Katibu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma kazikazini pia. Imagine Naibu Katibu mkuu wa chama anaita wanachama wapya wa kuja. Shameful! Ndo tunarudi kule kule kwenye CCM 'Chama kina wenyewe', wakati kila siku tunajipambanua kutaka kuiondoa CCM.
 

Tena wewe engineer
Angalia usiwakosoe kwa lugha ya bila kificho ukaambiwa umewatukana. Otherwise inabidi uwe politic-engineer ili wakuelewe teh teh teh teh
 

Mkuu mtu wa kawaida ambaye hajui kinachoendelea atajiunga. Lakini mtu makini akisoma kuwa kuna possibility ya kuwekwa kwenye kundi la wakuja then s/he will have to think twice before joining. Sidhani kama utakubali kufanya kazi kwenye kampuni amabayo one of its top executives anaonyesha wazi ku promote non-integration of new employers into the company. Mkuu naangalia big picture ya Chadema and Mh Zitto is part of it. Kama mpaka Mh Zitto amediriki kumwita mwanachama mwenzake wa kuja, then inaonyesha this culture exists within the party. Wehenga wetu walisema lisemwalo lipo, kama halipo linakuja. Sidhani kama ungependa kuona wananchi wanaopenda mageuzi wanaingizwa kwenye yale yale ya NCCR Mageuzi.
 
Some might pretend as the closest allies but in the real sense are merely sycophants. Chadema's current situation is obviously dog eat dog. And as if they are not cogizant of the risk of spilling the beans, they just keep on disclosing their differences. As opposed to ruling CCM, CHADEMA leaders are saliently devoid of political tolerance. Once this is left uncurbed, I am afraid, they will be digging their own grave.
 

Duh....kumbe unajadili hearsay? your arguinment is out of order in this matter and must have a personal vendetta .Tafadhali acha kujifanya mwanachadema ili kukichafua chama hapa.wewe sio mwanachadema

Kuhusu kumpinga Zitto na kumuunga mkono:Ndiyo maana mimi huwa naunga mkono hoja na si mtu,na sitaki katika maisha yangu ya kisiasa mtu wa kuniunga mkono,nataka wa kuunga mkono hoja ili niwe na nidhamu ya kujenga hoja zenye maslahi kwa wengi mda wote.Huoni kwamba inajenga discipline ya argiunment? Kwanza sijui ni wapi umeona nimemuunga mkono zitto,leta ushahidi na hata nikiunga mkono hoja hakuna wa kunizuia.kha,inashangaza kweli.Sifanyi total submition kama unavyotaka niwe



The right to be heard/write here doesnt guarantee the right to be taken seriously....have fun on your own madame.thanks anyways!

mwache aendelee na jeuri yake.sijui anajiamini nini.si pengine walikuja kuunganishwa na jack zoka
At this critical time,Tanzanians hawako interesting kusikia hizi rhetoric hogwash!Please just spare them


Hawa watu sio wanachadema,tafadhali wapuuze tu.Hawa ni watu wanaokuja hapa kwa malengo ya kukichafua chama ili kionekane kina mgogoro/makundi.Tafadhali dont take them serious
 
Bora leo mvuane nguo hapa wengi tulishahoji uwezo wenu. ikifika 2015 km hamtaacha ujuaji bungeni mtapasikia tu. Maana mnafanya viti maalum km chaka vile. Tulisema na tutasema hata km SADC wanataka viti maalum hatuwezi kuwa na uozo kisa SADC. Tunahitaji output. Hebu tuwaulize leo hii mna lipi la kujivunia kwakuwa viti maalum? Pia km mna ujasiri wekeni majina yenu hapa km huyo Zitto. Si kwamba hatuwafaham bali tunaheshimu kanuni za JF
 

kwanza kabisa nianze kwa kukuomba unitake radhi kwa kuniita jina la kunidhalilisha.
Kisha nakushauri uwe macho na ukurupukaji wako, nakufahamu sana kwa jina na aina yako ya propoganda za kioga na ndio maana umejificha nyuma ya jina la kichina.
Wewe unao uwezo wa kuwa mbunge wa hivyo viti kwa tiketi hiyo tu unayojivunia ila wenzio wenye hali hiyo wanaomba mungu awasaidie waondokane nayo kwani awakujitakia.
Nakuomba uchunge sana kinywa chako, kwani mimi niko wazi sio kama wewe, tangu nimejiunga hapa ninatumia jina langu.
Nakuomba wewe kama mbunge wa cdm viti maalum ujitokeze wazi kwa jina kwani jamii inaaimni una uwezo wa kujenga hoja kwa kudhani umepata nafasi hiyo kwa uwezo wa hoja na fikra nyoofu.
Sasa mam tokea hadharani tukusikie vinginevyo nitaweka saver yako na id zako zote.
Unatumia copmuter moja na ina gps haya kaa sawa mama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…