Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
- Thread starter
-
- #21
ZZK Mbeya ilikufa?
Wadau mnaofuatilia haya malumbano kwenye kigoda cha mwalimu...
Kuhusu Dira na Azimio la Arusha..
Kingunge kaeleza kwa uzuri...
Nimependa alivyomalizia kwa kusema siwezi kusema ccm oyee..
Dalili njema hizi za kufa na kuzikwa kwa CCM..
Tunaelekea mwisho mzuri...
Wanaanza kuiona misingi iliyowekwa na ccm haifai na haitatukwamua kutoka kwenye umaskini..
Ameelezea vizuri hasa pale kwenye miiko ya viongozi pamoja na wanachama wote kwa ujumla. Ingefaa aandike kitabu.
Siku hizi wanaweza kuwa wananunua China wanaweka chata yao
mzee amenena vyema,,nimemsikilza
Afadhali, maana naona mtoa mada alishindwa kuelewa figure of speech iliyo tumika hapoI just hold my words
Alisema hawwezi kusema hivo sababu ni mkutano ambao sio wa kisiasa,
But alimaanisha indirectly kua hapo ilikua ni muda muafaka kabisa kusema
Alisema hawwezi kusema hivo sababu ni mkutano ambao sio wa kisiasa,
But alimaanisha indirectly kua hapo ilikua ni muda muafaka kabisa kusema
Kulikuwa kuna sababu gani ya yeye kusema hivyo wakati anaitimisha?
Akili kumkichwa ndugu...
rudia post hii ya ndugu Marco:Kulikuwa kuna sababu gani ya yeye kusema hivyo wakati anaitimisha?
Akili kumkichwa ndugu...
Kuna watu wagumu kuelewa.
Kihistoria, kikao kama kile lazima kimaliziwe na kauli kama hizo. Kuanzia mwaka 1992 hali hiyo imebadilika kutokana na kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
kingunge kama mwanaCCM mkongwe ameona si sahihi kutoka bila kusema CCM oyee, kwa hiyo ameisema kwa style hiyo kuwa anatambua umuhimu wa kauli hiyo ambayo kwa kadamnasi ile hawezi kuisema.
Kuna watu wako kwenye jitihada za kulifanya embe dodo lionekane andazi, ili wapate kitafunio...

Kila mtu anatafsiri yake!
Na nadhani speech ya kingunge umeielewa kama unaakili za kupambanua..
Kasema waziwazi juu ya sababu za kushindwa kwa azimio
Kitaiangamiza CCM..