Zitto, Ulimwengu, Shivji na Jaji Mkuu wa Kenya ndani ya Nkrumah Hall - ITV Live

Wadau mnaofuatilia haya malumbano kwenye kigoda cha mwalimu...
Kuhusu Dira na Azimio la Arusha..
Kingunge kaeleza kwa uzuri...
Nimependa alivyomalizia kwa kusema siwezi kusema ccm oyee..
Dalili njema hizi za kufa na kuzikwa kwa CCM..
Tunaelekea mwisho mzuri...
Wanaanza kuiona misingi iliyowekwa na ccm haifai na haitatukwamua kutoka kwenye umaskini..
 
Mkuu!

Mnyama wa kufa hasikii kengele za mbwa wanao winda! Vivyo hivyo na MAGAMBA!!!!
 
Wadau mnaofuatilia haya malumbano kwenye kigoda cha mwalimu...
Kuhusu Dira na Azimio la Arusha..
Kingunge kaeleza kwa uzuri...
Nimependa alivyomalizia kwa kusema siwezi kusema ccm oyee..
Dalili njema hizi za kufa na kuzikwa kwa CCM..
Tunaelekea mwisho mzuri...
Wanaanza kuiona misingi iliyowekwa na ccm haifai na haitatukwamua kutoka kwenye umaskini..

Ameelezea vizuri hasa pale kwenye miiko ya viongozi pamoja na wanachama wote kwa ujumla. Ingefaa aandike kitabu.
 
Siku hizi wanaweza kuwa wananunua China wanaweka chata yao

Unawezakuta kutengeneza jembe Mbeya linakuwa na gharama kubwa kuliko kutengeneza huko China likafika hadi hapa kwa meli! sasa kama ni hivyo bora waagize Fong Kong waweke chapa zao
 
Alisema hawwezi kusema hivo sababu ni mkutano ambao sio wa kisiasa,
But alimaanisha indirectly kua hapo ilikua ni muda muafaka kabisa kusema
 
Kuna watu wagumu kuelewa.

Kihistoria, kikao kama kile lazima kimaliziwe na kauli kama hizo. Kuanzia mwaka 1992 hali hiyo imebadilika kutokana na kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.

kingunge kama mwanaCCM mkongwe ameona si sahihi kutoka bila kusema CCM oyee, kwa hiyo ameisema kwa style hiyo kuwa anatambua umuhimu wa kauli hiyo ambayo kwa kadamnasi ile hawezi kuisema.

Kuna watu wako kwenye jitihada za kulifanya embe dodo lionekane andazi, ili wapate kitafunio...
 
Kulikuwa kuna sababu gani ya yeye kusema hivyo wakati anaitimisha?
Akili kumkichwa ndugu...
 
Unakumbuka kuna siku Lipumba alimwambia Mkapa "sitaki kusema rais amedanganya, ila kwakweli rais hakusema ukweli"?

Umepata ujumbe gani hapo?
 
Kulikuwa kuna sababu gani ya yeye kusema hivyo wakati anaitimisha?
Akili kumkichwa ndugu...
rudia post hii ya ndugu Marco:
Kuna watu wagumu kuelewa.

Kihistoria, kikao kama kile lazima kimaliziwe na kauli kama hizo. Kuanzia mwaka 1992 hali hiyo imebadilika kutokana na kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.

kingunge kama mwanaCCM mkongwe ameona si sahihi kutoka bila kusema CCM oyee, kwa hiyo ameisema kwa style hiyo kuwa anatambua umuhimu wa kauli hiyo ambayo kwa kadamnasi ile hawezi kuisema.

Kuna watu wako kwenye jitihada za kulifanya embe dodo lionekane andazi, ili wapate kitafunio...
 
Kuna watu wagumu kuelewa.

Kihistoria, kikao kama kile lazima kimaliziwe na kauli kama hizo. Kuanzia mwaka 1992 hali hiyo imebadilika kutokana na kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.

kingunge kama mwanaCCM mkongwe ameona si sahihi kutoka bila kusema CCM oyee, kwa hiyo ameisema kwa style hiyo kuwa anatambua umuhimu wa kauli hiyo ambayo kwa kadamnasi ile hawezi kuisema.

Kuna watu wako kwenye jitihada za kulifanya embe dodo lionekane andazi, ili wapate kitafunio...

Kila mtu anatafsiri yake!
Na nadhani speech ya kingunge umeielewa kama unaakili za kupambanua..
Kasema waziwazi juu ya sababu za kushindwa kwa azimio
 
usichanganye mambo.

sababu za kushindwa kwa azimio ni jambo lingine na kumalizia kwa CCM oyee ni jambo lingine/

kitu ambacho hujui ni kwamba Kingunge hawezi kujitenganisha na kushindwa kwa azimio. Ila hapa tusibadili mada ya thread.

Kauli ya CCM oyee hapo kingunge alikuwa anawasalimia makada wenzake. Nadhani umeshaelewa sasa...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom