Zitto tusaidie umeelewa nini pale Bungeni? Hiki ndicho ulichotegemea?

Mbona wakati wa Mwendazake alikuwa na kiherehere kwa kila jambo kwani alikuwa Mbunge? Tunajua kinachomsumbua Zitto ni mdini sana na huwezi kumsikia akitoa ukosoaji kwa Serikali ya Bi Hangaya
Sawa lakini hoja zake hazina mashiko,maana Hana kura yoyote bungeni,anaongea kama Mimi na ww tu
 
Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
 
Katika watu wa hovyo wakubwa tanzania ni Zitto. mdini sana As long as samia na Mbarawa ni wa dini yake hata kusema lolote hataki.

Hivyo hivyo Fatma karume. Hovyo kabisa kabisa. Abdul Nondo

Waeleze JF kwanini Zito yuko kimya kiasi hicho? Msaliti mkubwa
Duh! Nilikuwa sijui kuwa like AZIMIO, sio mkataba bado, limetengenezwa na Waislamu kwa ajili ya maslahi ya Waislamu. Asante kwa kutufungua macho.
 
Katika kitu ambacho nicha kushangaza zitto zuberi kabwe sakata la mkataba wa bandari na Dp world amekaa kimya u!ma inatakaiwa ijue tumawanasiasa wa aina gani ndani ya nchi

Mwanasiasa anayejali maslahi yake binafsi ni wakuogopa kama ukoma no hatari kwa taifa. ogopa mtu wa hivo katika taifa .
 
Katika kitu ambacho nicha kushangaza zitto zuberi kabwe sakata la mkataba wa bandari na Dp world amekaa kimya u!ma inatakaiwa ijue tumawanasiasa wa aina gani ndani ya nchi

Mwanasiasa anayejali maslahi yake binafsi ni wakuogopa kama ukoma no hatari kwa taifa. ogopa mtu wa hivo katika taifa .
Wewe uyo usimuamini kabisa angaisha kichwa uyo labda uwenda na yupo si wakumwamini
 
Zitto Kabwe na chama chako ulikaa kimya kuhusu hoja ya bandari kwa madai kwamba unafurahia kuona hoja imepelekwa bungeni. Yamkini ungejielekeza kuchambua mapungufu unayodhani yapo ungewapa mwanga wabunge kuchangia ila uliamua kukaa kimya ukilisubiri bunge.

Azimio limeshapita bila mabadiliko wala maboresho yoyote kuwa wazi. Naomba kujua hiki ndicho ulikuwa unakisema au wabunge wamekuangusha? Kama wamekuangusha unadhani bado msimamo wa chama chako una faida kwa Taifa letu?
Muacheni ausome kwa umakini mkubwa, kabla ya kuchangia. Zitto si kama Lissu, Slaa na wanachadema kwa ujumla wanao kurupuka kujibu hoja kabla hawajazifahamu.
 
Back
Top Bottom