Hakuna usanii wowote, zile ni fedha kweli serikali imegaiwa. Fedha yoyote inayogaiwa ni gawio.
P
Jamaa katuletea visa vya chakubanga a k a mwena polee[emoji23][emoji23]Kumbe hata TBS wanafanya biznez! Ile michele yetu feki wanayodai wanateketeza huwa wanaenda kupiga bei.
Na hayo mapato ghafi(Turnover) TANAROADS wanapata wapi?Nina hakika umemuelewa Zitto ila ukaaandika maelezo mengi yasiyokuwa na maana. Kwenye maelezo yako yote hujajibu swali la msingi, je serikali ilipokea gawio tu au maduhuri?
Na kama ilipokea gawio Taasisi na wakala wa serikali zisizofanya biashara zimewakilisha gawio gani? Tupe mfano TANROADS wametoa gawio kutoka wapi wakati hawana biashara wanayofanya, ilihali wao wenyewe hupewa allocations kuendesha shughuli zao?
Nini hoja yako? Mbona unaelea tu? Pingana na hoja kwa kutumia hoja.Yaani maelezo mareeefu, halafu hujajibu hoja yoyote. Halafu kwanini nyie watu wa jiwe mnapenda kulazimisha nyekundu iwe nyeupe?
Unahisi TANROADS haina mapato ya kibiashara? Hujui TANROADS wanapokea mapato kutokana na mabango yaliyopo mabarabarani? Ni vema ukafanya utafiti wako kujua source ya hayo mapato.Nina hakika umemuelewa Zitto ila ukaaandika maelezo mengi yasiyokuwa na maana. Kwenye maelezo yako yote hujajibu swali la msingi, je serikali ilipokea gawio tu au maduhuri?
Na kama ilipokea gawio Taasisi na wakala wa serikali zisizofanya biashara zimewakilisha gawio gani? Tupe mfano TANROADS wametoa gawio kutoka wapi wakati hawana biashara wanayofanya, ilihali wao wenyewe hupewa allocations kuendesha shughuli zao?
mkuu kingine cha zitto ni kua haya maduhuli yanakatwa moja kwa moja kwenda hazina na utaratibu uliokuepo ni huo toka muda wote, sasa kulikua na haja gani kuwaita wakuu wa taasisi hizi hapo ikulu? Huoni ni gharama?Unahisi TANROADS haina mapato ya kibiashara? Hujui TANROADS wanapokea mapato kutokana na mabango yaliyopo mabarabarani? Ni vema ukafanya utafiti wako kujua source ya hayo mapato.
Kwenye hili Zitto kakurupuka sana. Si kila kitu ni cha kupibgwa ilimradi umepinga.
According to Zitto, pesa zilizotolewa jana ni makusanyo, hivi kampuni kama TTCL ikitoa 25 ya makusanyo yake, same to NMB, TIB, TIPER, etc zitaweza jiendesha kweli????
Mambo mengine ni ya kufikiria na kuacha wanasiasa wafanya siasa zao.
Na appreciate sana siasa za Zitto, japo kwenye hili kapeleka wananchi chaka.
Wacha ujinga, Zitto kahudumu kama Mwenyeki wa kamati inayokagua hayo mashirika kwa miaka zaidi ya kumi, ni mchumi mzuri wewe umekopeshwa simu ya SMART hata kutype hujaweza unataka tukusikilize wewe. Rudi kwenye pango lako huko ukaongee na wajinga wenzio.Unahisi TANROADS haina mapato ya kibiashara? Hujui TANROADS wanapokea mapato kutokana na mabango yaliyopo mabarabarani? Ni vema ukafanya utafiti wako kujua source ya hayo mapato.
Kwenye hili Zitto kakurupuka sana. Si kila kitu ni cha kupibgwa ilimradi umepinga.
According to Zitto, pesa zilizotolewa jana ni makusanyo, hivi kampuni kama TTCL ikitoa 25 ya makusanyo yake, same to NMB, TIB, TIPER, etc zitaweza jiendesha kweli????
Mambo mengine ni ya kufikiria na kuacha wanasiasa wafanya siasa zao.
Na appreciate sana siasa za Zitto, japo kwenye hili kapeleka wananchi chaka.
Mkuu ZZK, nimezisoma hoja zako na kushauri
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P.
- Kwa sisi ambao sio wachumi, any income ni profits, hivyo chochote ambacho serikali imepata mgao wake kutokana na income ya taasisi zake hivyo ni sahihi kabisa kuita gawio la mapato yao!.
- Maana ya gawio ni mgao na sio lazima dividends.
- Faida ni fedha yoyote unayoipata extra, hivyo kwa mgao huo, serikali imepata faida.
- Sii ulaghai, bali huo ndio ukweli wenyewe, gawio hilo ni faida kwa serikali.
- Hata kama hakuna faida, then gawio hilo ni mgao halali wa 15% ya serikali.
- Maadamu yameishawekwa kisheria, neno gawio hapa linamaanisha kile unachogawa, iwe ni mchango, mgawo, gawio, call it what you may, serikali imegaiwa, hivyo kilichopokelewa ni gawio la mgao wa serikali.
- Amewaleta ili Watanzania tuone, jinsi serikali yetu inavyofanya kazi, na amini usiamini, kuanzia mwaka huu wa fedha, kutakuwa na tukio la TRA kwa walipa kodi wakubwa nao pia watatangazwa na vyeti vya recognition wapewe!.
- Zitto usipotoshe, Watanzania hatuja danganywa, zile hundi ni za ukweli, ni gawio halali kwa serikali yetu na fedha hizo zote zimeingia mfuko mkuu hazina na nchi imepata pesa!.
Zitto nahisi hakusikiliza vizuri kakimbilia kuandika na kupotosha watu. Imesemwa wazi, kuna walio toa gawio hasa wenye muundo wa kampuni na shareholding structure mf. Kadco. Baada ya hapo ikatangazwa yanakuja mashirika yanayotoa maduhuri mf. Tcra, ewura na wengine. Tofauti imesemwa wazi kwa waliosikiliza na ikatajwa kuwa ni 15% ya mapato kulingana na sheria. Zitto hoja huna tena.
Pasco unakebehi mkulu. Kwan ukiwa wa kanda ya ziwa ndo nini? Chunga sana!Hayo ni mambo ya lugha tuu, kwa sisi wa Kanda ya Ziwa, ukigawiwa fedha yoyote, jina la fedha hiyo ni gawiwo!.
P.
Mkuu Bobby, hizo ni stereo type tuu kuwa sio kila gawio lazima liwe dividends, neno gawio limetokana na neno gawa, serikali imegaiwa mgao wake wa fedha, hivyo fedha yoyote inayogaiwa ni gawio!, hata wewe ukiwagawiya watoto wako fedha za matumizi kwa viwango ulivyo wapangia, then fedha hizo ndilo gawio lao, wanao wanakuwa wamepata gawio lao la fedha za shule kutoka kwa baba yao.Kwa level zako mkuu unapaswa kujiorient kdg kwenye mambo ya fedha itakusaidia, duhuli na gawio zote ni pesa lakini ni vitu viwili tofauti. TCRA hata watoe 100b huwezi kuiita gawio, TCRA hawawezi kuwa na neno gawio kwenye vitabu vyao vya fedha hata siku moja. Ni kweli watanzania wanataka maendeleo lakini hawataki kudanganywa zama zimebadilika kdg. Rais ni mtu mkubwa sana, kwa idadi ya wataalamu waliomzunguka kwenye taasisi ya urais hapaswi kuliita duhuli gawio- its purely very wrong and completely misleading.
TAMWA? ndugu unaijua TAMWA? ile ya enzi za akina Ananilea Nkya? hii ni TANZANIA MEDIA WOMEN ASSOCIATION. Chama cha waandishi wa Habari wanawake. sasa hao watatoaje maduhuli kwa Magu?Kwani TCRA nao wametoa?,
Sio kwamba waliotoa ni mashirika kama crdb,nmb,Tamwa,reli,tanesco etc