Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,435
- 1,995
1. Kwa mantiki hii hata TRA wenyewe wanapaswa kulipa hii maduhuli.Asante sana. Nilikuwa naumiza kichwa tcra wanafanya biashara gani waweze toa "gawio" bilioni 30?
2. Kwa mashirika ambayo yanakusanya (hayazalishi) kama TRA, TCRA, EWURA, na mengine kama hayo hiyo 15% aliyosema Zitto iongezwe hadi 80% kwasababu wanatumia fedha yet vibaya kwa mambo ya anasa kwmfn majengo ya kifahari, mishahara na marupurupu kibao ambapo wafanyakazi wengine wanatoka jasho viwandani na secta kama za afya, Polisi, TAZARA nk.
3. Inakera sana kuona taasisi kama mifuko ya eti: "akiba za wafanyakazi" zinajenga magorofa badala ya kuneemesha wafanyakazi wenyewe. Halafu vyama vya wafanyakazi navyo ni kama vimepigwa pini!