ZITTO: Tumeshampendekeza Mrithi wa Maalim

Tuwaombee msitoke kwenye mstari wa kupigania demokrasia? Kukubali kuungana na mpinzani ndo kupigania demokrasia? Mnawakumbuka walioumia katika kuhakikisha nyie mnaingia ikulu? Leo hii wanajikiria vipi kuona mmeketi meza moja na yule waliokuwa wakitaka atoke madarakani?
 
Tamko hakutakuwa atoe Zitto Kabwe lilitakiwa kutolewa na viongozi wa ACT wazalendo wa Upande wa Zanzibar.
hujui katiba ya ACT wala masuala ya Protocol. Kaisome katiba yao juu ya Mamlaka ya Kiongozi wa Chama.

btw, Rais wa Zanzibar Nyie wanaCCM huwa anateuliwa Wapi?
 
Huku Kwetu Ubunge tu wakubwa wamegeukana wakapeleka majina ya Wake na Mahawara zao wakigiza kukutana kuwasimamisha Uanachama
unless unamjua hawala ya kaka au baba yako etc ndiyo useme hivyo, short of that huna legitimacy ya kusema hivyo
 
Muwe waelewa. Mshaambiwa jina lishatumwa sasa kama ni mazrui, au othman au babu duni sisi tusubirini tu
Nakushauri soma comnents zangu ukiwa cool headed na si vinginevyo - wapi nimesema maoni yangu ndio final - wapi? Nilicho fanya ni kutoa angalizo basi whether nimechelewa au nimewahi hiyo ni immaterial.
 
Wasije wakajichanganya tena wakatuletea mwarabu.Huyo hatakuja kuwa rais wa Zanzibar.
Maalim hakuweza kupewa urais kwa sababu alikuwa mwarabu.Msimamo huo ni sahihi kabisa kwa sababu mweusi kama miye siwezi kupewa hata uwenyekiti wa kitongoji tu huko uarabuni.
 
Hamnazo sio matusi.

Wewe kama unataka kuja kwangu kunitukana karibu sana.
Just a simple question: Unaweza kumwambia baba yako kuwa usijitie hamnazo? If your answer is in the affirmative, then you are spared/right; if the answer is in the negative, then you deserve revenge!
 
Nakushauri soma comnents zangu ukiwa cool headed na si vinginevyo - wapi nimesema maoni yangu ndio final - wapi? Nilicho fanya ni kutoa angalizo basi whether nimechelewa au nimewahi hiyo ni imaterial.
I was cool headed then and I am right now.

Hata kama hujasema maoni yako ndio final, ila fact ni kwamba maoni yako is not important today, now I mean. Jina lishapelekwa be is Mazrui's or somebody else.
 
CCM wataendelea kuwatumia hao Act-Wazalendo kama "Stepping Stone" kwa maslahi yao ili kuendelea kuitawala Zanzibar kimabavu pasipo ridhaa ya wananchi wa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom