ZITTO: Tumeshampendekeza Mrithi wa Maalim

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,094
2,000
Wasije wakajichanganya tena wakatuletea mwarabu.Huyo hatakuja kuwa rais wa Zanzibar.
Maalim hakuweza kupewa urais kwa sababu alikuwa mwarabu.Msimamo huo ni sahihi kabisa kwa sababu mweusi kama miye siwezi kupewa hata uwenyekiti wa kitongoji tu huko uarabuni.
Ilikuwaje sasa huyu Muarabu akiwa CCM alipewa uwaziri kiongozi? Au Uarabu aliupata akiwa Upinzani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom