Nchi hii inaangamia kutokana na vichwa vya wengi kujaza ujinga! Zitto ameweka maoni na mtazamo wake wewe unang'ang'ana kumjadili yeye badala ya kujadili alichowasilisha? Ulitaka Rais alivyoenda jimboni kwake ndio amwambie kuwa anaendesha nchi kishamba? Hovyo kabisa nyie watu..Mie hata simuelewi wala sijawai kumuelewa mchumia tumbo huyu leo hii mkulu akienda kwenye jimbo lake atamsifia sifa zote na kumueleza wapinzani wenzie washamba na wapenda sifa tuwe makini wananchi wenzangu na wachumia matumbo yao na familia zao maana sie ndio tunaumia...