Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

Status
Not open for further replies.
Naanza kuwa na hofu. Chama gani kinaanza kugawanyika hata kabla ya kuingia Ikulu?

Tujisahihishe, kutangaza nia kusiwe sababu ya kuchafuana, Kila mtu ana haki ya kuchukua fomu ya kugombea uraisi, hata mimi Mangaline, nafikiria kuchukua fomu, na nadhani kikatiba naruhusiwa. kama ni kuenguliwa, hayo yatakuwa maamuzi ya Kamati kuu.

Kama siruhusiwi hata kuchukua fomu, basi mwenzenu nahamia ZZK.
 
Hapa tatizo sio zitto ni siasa za ukabila ndio zimeshamiri katika cdm....unapo ongelea suala la urais wachaga hawapendi sikia mgombea anatoka sehemu nyingne tofauti na kasikazini,wapo tayari kuungana na ccm ili mhusika aonekane hafai malengo yao ya timie...kipindi nasoma pale udsm nilishangazwa sana na vijana wa kichaga walivyo kuwa wana mlinganisha zitto na kilaza wao godbless lema....wanadai lema ni zaidi ya zitto katika siasa za hapa kwetu bongo....zitto usikate tamaa endelea komaa hapo hapo wewe slaa,wangwe,bob makani,mzee mtei ndio mmekifikisha hapo cdm....hao wazembe walio ingia kwenye siasa juzi na kujilinganisha na ww tupa kule.

Kugeuza hii issue ili ionekane kuwa na msukumo wa ukabila ni dalili ya kufilisika hoja. Wahenga wanasema 'usile na kipofu ukamshika mkono'. Siasa za Zitto zimegusa mitandao ya CCM na sasa mtandao mmoja umeamua kumshughulikia. Huu mtafaruku ni wa serikali ya CCM na wabunge wake lakini Zitto anajikuta yuko right in the middle of it. Why?

CCM ndio walioamua kumpa Zitto uenyekiti wa kamati ya mahesabu ya mashirika, wanamjua in and out, wanajua strenghts zake lakini pia wanajua madudu yake, na sasa wameanza kutapika nyongo. CHADEMA ni spectator kwenye hii issue. Siasa za Tanzania zimebadilika san. Very unfortunate.
 
Hakuna hoja yenye mashiko hapo,Zitto umejimaliza mwenyewe na mbio zako za sakafuni,jitathmini wewe mwenyewe kabla yake kuwasonda vidole wengine,wanasiasa vijana mnalewa sana sifa jiangalieni na kati yenu hakuna wa kumpa nchi wote wahuni tu.
hapana mkuu kwa hili zitto utamuonea tu. mimi namini kabisa huyu dogo anastahili kuiongoza hii nchi kama amiri jeshi mkuu.
wanaotambaza haya maneno ya kuwa zitto amehongwa ni wabunge wa chadema. hasa mchungaji msigwa kama alivyonukuliwa na baadhi ya watu huku dodoma. inasemekana mchungaji msigwa hana hakika kama atarudi tena bungeni uchaguzi na pia hawezi kuwepo kwenye orodha ya wateule wa zitto akiwa amiri jeshi mkuu.
hivyo ndio maana anaropoka ropoka.
 
zitto ni zaidi ya taasisi. mwacheni aitwe zitto.

Zitto anaweza kuwa na nia njema ila tatizo lake kubwa ambalo mimi naliona kwake ni umimi na timing, tuna miaka mitatu bado awatumikie kwanza wanakigoma! Kwani huko kigoma kuna maisha bora kwa kila mtz tayari?
 
Zitto Zuberi Kabwe hufai kuwa Rais kwakuwa unachanganya sana madesa. Kimbelembele chako kinakuponza. Na bado...
 
Kugeuza hii issue ili ionekane kuwa na msukumo wa ukabila ni dalili ya kufilisika hoja. Wahenga wanasema 'usile na kipofu ukamshika mkono'. Siasa za Zitto zimegusa mitandao ya CCM na sasa mtandao mmoja umeamua kumshughulikia. Huu mtafaruku ni wa serikali ya CCM na wabunge wake lakini Zitto anajikuta yuko right in the middle of it. Why?

CCM ndio walioamua kumpa Zitto uenyekiti wa kamati ya mahesabu ya mashirika, wanamjua in and out, wanajua strenghts zake lakini pia wanajua madudu yake, na sasa wameanza kutapika nyongo. CHADEMA ni spectator kwenye hii issue. Siasa za Tanzania zimebadilika san. Very unfortunate.
acha uwongo na unafiki.
wanaosambaza siasa za kumchafua zitto bungeni ni MCHUNGAJI MSIGWA na JOSEPH SELASINI ambao wanasukumwa na siasa za ukabila, udini, uroho wa posho na uchu wa urais sasa hao ccm unawasingizia bure.
 
Kugeuza hii issue ili ionekane kuwa na msukumo wa ukabila ni dalili ya kufilisika hoja. Wahenga wanasema 'usile na kipofu ukamshika mkono'. Siasa za Zitto zimegusa mitandao ya CCM na sasa mtandao mmoja umeamua kumshughulikia. Huu mtafaruku ni wa serikali ya CCM na wabunge wake lakini Zitto anajikuta yuko right in the middle of it. Why?

CCM ndio walioamua kumpa Zitto uenyekiti wa kamati ya mahesabu ya mashirika, wanamjua in and out, wanajua strenghts zake lakini pia wanajua madudu yake, na sasa wameanza kutapika nyongo. CHADEMA ni spectator kwenye hii issue. Siasa za Tanzania zimebadilika san. Very unfortunate.
MCHUNGAJI MSIGWA NAYE CCM?. mbona alimfata KIBAJAJI LUSINDE na kumwambia amtaje ZITTO kuwa amechukua rushwa?. mbona hakumtaja mwenyewe?. mbona alimfata mwandishi mmoja wa habari na kumwambia aandike habari za zitto kumtumia meseji maswi?.
kama MSIGWA nae CCM basi naanza kukubali kuwa zitto anafaa kuwa RAIS
 
Kwenye hili la rushwa msimtetee Zitto kwani ukweli utawaumbua baadhi yetu, aliomba rushwa ya 50 ml akisema kuwa ni kwa ajili ya kamati yake na hii aliiomba baada ya kumtisha Maswi kuwa yeye hajawahi kushindwa kwenye mission yake na jana usiku kafanya tena kituko kingine kibaya zaidi.

Aliomba rushwa yapo mengi yanakuja ya TANROADS, TANAPA etc msikurupuke.
 
Zitto Zuberi Kabwe hufai kuwa Rais kwakuwa unachanganya sana madesa. Kimbelembele chako kinakuponza. Na bado...
wewe unafaa kuwa diwani wa huko uliko.
pumba organizaton.
zitto ni rais na ataendelea kuwa rais mpaka mchoke na roho zenu.
 
Tuhuma tu kuwa umehongwa zatosha kukuweka kando kama Mwenyekiti wa Kamati ya Mashirika ya Umma. Wewe mwenyewe umeomba uchunguzi toka Kiti cha Spika. Kwasasa,wewe na wenzako mnaojishtukia kuwa mmehongwa mmechafuka. Toka nje kwanza tusafishe kamati yako na ya Chenge..
 
Kwenye hili la rushwa msimtetee Zitto kwani ukweli utawaumbua baadhi yetu, aliomba rushwa ya 50 ml akisema kuwa ni kwa ajili ya kamati yake na hii aliiomba baada ya kumtisha Maswi kuwa yeye hajawahi kushindwa kwenye mission yake na jana usiku kafanya tena kituko kingine kibaya zaidi.

Aliomba rushwa yapo mengi yanakuja ya TANROADS, TANAPA etc msikurupuke.
lete ushahidi wa hizo oesa alizochukua ama kuziomba?.
kama kamati yake iliomba rushwa kwanini ikavunjwe kamati ya kina MNYIKA?. UKABILA UTAWATAFUNA MWAKA HUU. viva zitto
 
Zito hawa jamaa nadhani hawakujui wapemuda waneneeee wewe lako ni moja tu wote watakaa kimiya.
Chenge naye kafanya nini wewe wakati kaingia juzi tu.Watanzania kama mmelogwa.
LWLNLW
 
Zitto anaweza kuwa na nia njema ila tatizo lake kubwa ambalo mimi naliona kwake ni umimi na timing, tuna miaka mitatu bado awatumikie kwanza wanakigoma! Kwani huko kigoma kuna maisha bora kwa kila mtz tayari?
tunampenda zitto kwa sababu sio muoga na sio mnafiki.
timing unayoitaka wewe ndugu yangu ni ya mifumo ya ki CCM mana hata JK aliulizwa zaidi ya mara 20 kama anatarajia kugombea urais lakini akawa anakataa. matokeo yake akaja kukurupuka mwishoni na sasa cha moto tunakiona. nchi hii inawezwa kutolewa hapa ilipo na kiongozi wa aina ya zitto tu.
mimi namuunga mkono zitto kwa hili na nawapa pole WAKABILA WOTE WALIOJAZANA HUMU NA KUTOKWA MAPOVU HOVYO.
 
Ktika hali isiyokuwa ya kawaida wachaga waliop chadema wameungana na wabunge wapenda posho wa ccm ili kumuadabisha Mh zuberi zitto, yote hayao yametokana na mambo makuu mawili
1.Zitto kukataa posho na kuendelea kutozichukua mpka leo, wahafdhina ndani ya chadema wameona wanaaibika hasa baada ya mbungewa iramba mwigulu kuwachana ukweli, kma hiyo hitoshi wabunge wengi wa chadema ambao ni wa kaskazini waliingia kwenye chama na lengo lake likiwa ni kupata pesa , walitumia mbinu nyingi sana kumharibia zitto reputation yake ndani ya jamii na nje ya siasa ili aonekane yeye amehongwa au alikuwa na ubia na mhando wa tanesco
2.Kitendo cha zitto kutangaza kugombea urais 2015 kiliwastua sana wachaga kiasi cha kutengengeneza mkakati wa kummaliza kwenye medani za siasa kwa kushirikiana na ccm, ikumbukwe kwenye maswala ya ukabila wachaga huweka nje itikadi zao, na hiyo kazi alipewa selasin amabaye uhusiano wake na wachaga wenzio haupo na alizungumza vitu vingi sana
Kama CHADEMA wataendelea na huu ujinga 2015 chma hakifiki na hata kikifika ccm wameshajuwa mahali pa kuwamamlizia ni juu ya urais na posho pekee yake
Mnyika amabye yeye daiama ni mnafiki huwa anazungumzia hilo chini ya meza na maelezo yake niliyoyapata kwa njia ya kiintelejensia nitayaweka very soon baada ya secretary wangu kumalaiza kuyatype
Kafulila alisema CHADEMA ni ya wachaga na wewe ukijifanya ni yako wako tayari kukuharibia kwa gharama yoyote ile
Kashfa ya hongo ya kumnusuru mhando ilishazungumziwa hapa kabla ya zitto kutangaza nia yakua raisi, take it in ur mind.
Anyway how old are you??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kugeuza hii issue ili ionekane kuwa na msukumo wa ukabila ni dalili ya kufilisika hoja. Wahenga wanasema 'usile na kipofu ukamshika mkono'. Siasa za Zitto zimegusa mitandao ya CCM na sasa mtandao mmoja umeamua kumshughulikia. Huu mtafaruku ni wa serikali ya CCM na wabunge wake lakini Zitto anajikuta yuko right in the middle of it. Why?

CCM ndio walioamua kumpa Zitto uenyekiti wa kamati ya mahesabu ya mashirika, wanamjua in and out, wanajua strenghts zake lakini pia wanajua madudu yake, na sasa wameanza kutapika nyongo. CHADEMA ni spectator kwenye hii issue. Siasa za Tanzania zimebadilika san. Very unfortunate.

Haya ni maneno ambayo hayajapimwa ni kweli kuwa Zitto aliomba rushwa , sasa kama unataka subiri jumanne Bungeni kitawaka na atatajwa , aliyekuwa ameandaliwa na system kumtaja juzi ni Ally Keisy wa Nkasi ila alinyimwa fursa ya kuchangia mjadala pamoja na jina lake kuwa la 14 , sasa usikurupuke tuu hapa system wamemchoka Zitto na wanaona kuendelea kumbeba itawapa shida.......ila lingine ni kuwa inapotokea system ikashambuliwa huwa inatafuta jinsi ya kujinasua na kwa sasa juu ya Ulimboka wameamua kumtosa kijana wao mmpendwa kwani wanaona kazi ameshindwa aliyokuwa amepewa na hata jana usiku bosi mmoja wa system aliongea naye kwa kirefu na akamapa strategy ya kuwa leo baadhi ya vijana wa CDM waitishe press conference na kuibua issue ya Kigoma na waliandaliwa waandishi ila imefeli lakini tayari baadhi ya news room wametengeneza story kuwa kuna mgogoro CDM na ni front page ya magazeti ya kesho nitayataja yakishaenda kiwandani later kwani wanagombana wengine wanaona sio sahihi ila bado hawajakubaliana .

Wenye busara kaeni pembeni fuatilieni kwa umakini ....sign out.
 
Tuhuma tu kuwa umehongwa zatosha kukuweka kando kama Mwenyekiti wa Kamati ya Mashirika ya Umma. Wewe mwenyewe umeomba uchunguzi toka Kiti cha Spika. Kwasasa,wewe na wenzako mnaojishtukia kuwa mmehongwa mmechafuka. Toka nje kwanza tusafishe kamati yako na ya Chenge..
wamehongwa kamati ya kina MNYIKA sio kina zitto. ndio maana kamati yao IMEVUNJWA. muulize selasini kwanini aliomba aongezewe posho?.
 
pole. najua unachowaza juu ya ujinga na unafiki mnaotaka kuueneza.
zitto kwenu ni tishio na ataendelea kuwa tishio milele. mimi nipo nyuma yake na nitamuunga mkono daima.

Jolly jolly a confused creature uncouthed without morals and manners keep on waiting you will see
 
Zitto hana hoja ya msingi ...huyu ni mtu wa kupenda sifa pasipo kusoma alama za nyakati ...umakini wake kama wengi wanavyomsifu ni wa mashaka ...amekuwa mtu mbinafsi na mwenye kukurupuka sana .
 
Haya ni maneno ambayo hayajapimwa ni kweli kuwa Zitto aliomba rushwa , sasa kama unataka subiri jumanne Bungeni kitawaka na atatajwa , aliyekuwa ameandaliwa na system kumtaja juzi ni Ally Keisy wa Nkasi ila alinyimwa fursa ya kuchangia mjadala pamoja na jina lake kuwa la 14 , sasa usikurupuke tuu hapa system wamemchoka Zitto na wanaona kuendelea kumbeba itawapa shida.......ila lingine ni kuwa inapotokea system ikashambuliwa huwa inatafuta jinsi ya kujinasua na kwa sasa juu ya Ulimboka wameamua kumtosa kijana wao mmpendwa kwani wanaona kazi ameshindwa aliyokuwa amepewa na hata jana usiku bosi mmoja wa system aliongea naye kwa kirefu na akamapa strategy ya kuwa leo baadhi ya vijana wa CDM waitishe press conference na kuibua issue ya Kigoma na waliandaliwa waandishi ila imefeli lakini tayari baadhi ya news room wametengeneza story kuwa kuna mgogoro CDM na ni front page ya magazeti ya kesho nitayataja yakishaenda kiwandani later kwani wanagombana wengine wanaona sio sahihi ila bado hawajakubaliana .

Wenye busara kaeni pembeni fuatilieni kwa umakini ....sign out.
NI OWEGA TU UNAOTUSUMBUA WATANZANIA.
anayesambaza hizi habari ni PETER MSIGWA wa CHADEMA akishirikiana na SELASINI. sasa wewe unaleta habari nyiiiiingi hapa.
MUULIZE MSIGWA KWANINI JUZI ALIMFATA LUSINDE ALITAJE JINA LA ZITTO KUWA NDIYE ALIYEOMBA RUSHWA?.
usitupotoshe bwana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom