Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa ameshikwa pabaya sa hz anatapatapa.Mara ooh uraìs mara ooh posho,najua saa ndo atanyamaza.Urais huwezi kwa sabb we ndùmila kuwili hauna msimamo
 
yaan cjui watu wanamatatizo gani,who is zitto by the way?kwan yy ni malaika hawez kukosea?km anaona anaonewa cdm asepe chama kingine bana
 
Hapa tatizo sio zitto ni siasa za ukabila ndio zimeshamiri katika cdm....unapo ongelea suala la urais wachaga hawapendi sikia mgombea anatoka sehemu nyingne tofauti na kasikazini, wapo tayari kuungana na ccm ili mhusika aonekane hafai malengo yao yatimie...

Kipindi nasoma pale UDSM nilishangazwa sana na vijana wa kichaga walivyo kuwa wana mlinganisha zitto na kilaza wao godbless lema....wanadai lema ni zaidi ya zitto katika siasa za hapa kwetu bongo....

Zitto usikate tamaa endelea komaa hapo hapo wewe Slaa, Wangwe, Bob Makani, Mzee Mtei ndio mmekifikisha hapo CHADEMA.... hao wazembe walioingia kwenye siasa juzi na kujilinganisha na ww tupa kule.
 
Kuna siku niliwahi kusema UKIMYA ni busara.Sasa mhe.Zitto hushangai kuona mwenzio J.Makamba ametulia japokuwa mlisema ndani ya siku moja juu ya kupunguza miaka ya kugombea urais?
 
Tulizeni Munkari Spika Aliahidi ripoti ya uchunguzi itawekwa wazi na hapo ndio orodha ya wabunge waua nchi itakapotajwa rasmi. SPIKA HILI SITEGEMEI NALO ILATISHIA OFISINI KWAKO kama skendo ya Pinda Arusha.
 
dizzle1

Hapo utaposhangaa ushindwe kuchagua pale CCM na CMD zitakaposimamisha wagombea tokea kaskazini kama sio wote wachaga.

Siasa za chuki za ukabila, ukanda na udini hazitakaa zifanikiwe Tanzania
 
Last edited by a moderator:
kwanini uchaga unahusishwa sana na chadema ,naanza kupata waswas na chadema ila bado sijaamin mpka nifanye uchunguzi coz hapa jukwaan kuna kuchafuana mwenye ukweli atupatie je kuna ukweli kuhusu hili la ukabila chadema kwamba wachaga wana hasira na zitto

Hiyo ni karata ya kisiasa tu,kwani nani alianzisha mambo ya uraisi?Mkitumia akili kidogo hamtapata shida na hawa wanasiasa.
 
yaan cjui watu wanamatatizo gani,who is zitto by the way?kwan yy ni malaika hawez kukosea?km anaona anaonewa cdm asepe chama kingine bana

Akosee vingine lakini sio kula Rushwa, au kufanya biashara za kifisadi. kwa hilo hatutamsamehe.

Ana heri asiemjua Mungu atendapo dhambi. kuliko mcha Mungu anaehubiria watu ubaya wa dhambi halafu yeye kimya kimya anatenda dhambi. huyo hatasameheka lazima aadhibiwe
 
Zitto kama mwananchi imekunukuu sahihi basi umeshakwisha wewe ni mlafi wa madaraka na asilani usiye na shukrani na pia huna busara za kuwa rais haiwezekani ukatumia fallacy kubwa namna hiyo ya haste generalization eti wote wanaopinga wanaoutaka urais kutoka vyama vyote wewe kwa membe, prof lipumba, slaa, lowassa bado ni kinda kisiasa.

Hata jimbo lako linakushinda ndio useme kwamba wewe uko kwenye seat za mbele za urais acha utoto kuwa mtu mzima sasa. Ila kama mwananchi imekunukuu sahihi umekosa kura moja mwAndiga
tatizo la zitto hapo ni nini? ....tuliopo dodoma tunafahamu kila kitu ...ni nani anasema Zitto hakutajwa? ...muulize msigwa
 
eti wabunge wenye njaa ya posho

anazidi kuongeza maadui.....

dah! hivi huyu mheshimiwa anaye mshauri wa kisiasa?

kama mhe zzk kweli amesema "wabunge wenye njaa ya posho" naona atakuwa amekosa umakini.
kama kweli aliona ni lazima aseme basi angeweza kusema "wabunge tunaotofautiana msimamo katika suala la posho" akawa ametuma ujumbe huo huo. hii kusema "njaa ya posho" atakuwa amewatusi wenzake hivyo kuongeza
uadui.
ujumbe huohuo.
 
dizzle1

Mamluki wakubwa wewe na huyo anayejiita Msiba! Mnaanza tena kelebu ya ukabila? Mlianza nayo mkashinda, mkaja na ngonjera ya udini nayo ikashindwa, mmekuja na nyingine ya fujo/uvunjifu wa amani nayo imeshinda sasa mnarudi tena kwenye ukabila!

Hivi kwa akili zenu fupi- ukiulizwa ukabila kwa ajili gani, utakuwa na jibu!? Hebu jeuka angalia nyuma yako, kushoto na kulia, kuna wachagga wangapi wamekuzunguka? Unadhani akipata uraisi Mchagga wakaofaidi ni watu wa eneo gani? Wachaga wako wapi? Tena kwa mantiki tofauti ningefikiria bora ukawa na Mchagga(ila sipendi huu upuuzi wa kufikiria kabila la mtu) kwa maana wapo nchi nzima hata kule kijiji cha Ulaya mpakani na Songea Wilaya ya Ulaya, kuliko wengine ambao wataelekeza maendeleo kasehemu fulani tu ka taifa hili.

Ngoja niwalaani(Mod please nihurumie- ni leo tu!)- MLAANIWE WOTE MNAOWAZA NA KUFIKIRI KIKABILA- Laana kwa Dizzle1 na wewe Msiba!!
 
Last edited by a moderator:
Ktika hali isiyokuwa ya kawaida wachaga waliop chadema wameungana na wabunge wapenda posho wa ccm ili kumuadabisha Mh zuberi zitto, yote hayao yametokana na mambo makuu mawili
1.Zitto kukataa posho na kuendelea kutozichukua mpka leo, wahafdhina ndani ya chadema wameona wanaaibika hasa baada ya mbungewa iramba mwigulu kuwachana ukweli, kma hiyo hitoshi wabunge wengi wa chadema ambao ni wa kaskazini waliingia kwenye chama na lengo lake likiwa ni kupata pesa , walitumia mbinu nyingi sana kumharibia zitto reputation yake ndani ya jamii na nje ya siasa ili aonekane yeye amehongwa au alikuwa na ubia na mhando wa tanesco
2.Kitendo cha zitto kutangaza kugombea urais 2015 kiliwastua sana wachaga kiasi cha kutengengeneza mkakati wa kummaliza kwenye medani za siasa kwa kushirikiana na ccm, ikumbukwe kwenye maswala ya ukabila wachaga huweka nje itikadi zao, na hiyo kazi alipewa selasin amabaye uhusiano wake na wachaga wenzio haupo na alizungumza vitu vingi sana
Kama CHADEMA wataendelea na huu ujinga 2015 chma hakifiki na hata kikifika ccm wameshajuwa mahali pa kuwamamlizia ni juu ya urais na posho pekee yake
Mnyika amabye yeye daiama ni mnafiki huwa anazungumzia hilo chini ya meza na maelezo yake niliyoyapata kwa njia ya kiintelejensia nitayaweka very soon baada ya secretary wangu kumalaiza kuyatype
Kafulila alisema CHADEMA ni ya wachaga na wewe ukijifanya ni yako wako tayari kukuharibia kwa gharama yoyote ile
Jiangalie wewe, usichefue watu kwa huu uzuzu wako. Wenzio mnaotumwa nao na magamba hawaharishi hivyo. Hata kama tunajua kuwa ili uweze kuitetea ccm na serikali yake ni sharit uwe zuzu, ila wako wewe umepitiliza. Tanzania ya leo hakuna asiyeijua kazi ya mnyika
 
Hata kama ushahidi utakosa,
The absence of evidence is not the evidence of absence
 
Kwa wano mtetea Zitto jaribuni kufikili japo kidogo 2. Ni kwamba wabunge wanao tuhumiwa wako kama 5 iweje zitto akulupuke kudhani ye ndo mlengwa?

Alitumwa na nani amtetee huyo fisadi muhando? masuala ya urais na posho yameingiaje hapo? Kwahiyo hizo tuhuma ni za uongo na iweje spika avunje kamati? Zitto kaka jirekebishe unapenda sana sifa binafsi.

Ulivyo fukuzwa bungeni CDM wote walikuwa na ww leo hii wakikutimua tena watetezi wako watatoka magamba kwann hujiulizi? Umekengeuka rudi katika msitali na cdm waungwana ukibadilika watabadilika tatizo lako unajuwa ww unaumuhimu na umaalufu kuliko Cdm unajidanganya.
 
MAADUI WANGU NDANI NA NJE.
hili zitto amenifurahisha sana kujitenga na chama na kuungana na CCM alifikiri anajijenga?hata popo anakuwa na amani anapokuwa na popo wenzake tu. kwa nini mnyika asijibu wakati kamati aliyopo ndani imevunjwa?zitto acha kujishtukia kuhusu kupinga posho kila m2 alikuwa upande wako ila kwa sasa rangi yako hatuijui hujulikani popo au njiwa.

ushauri wangu;wewe bado ni jembe ila nakushauri uondoe undumilakuwili tu. CCM haiwezi kuwa na rafiki mwanamageuzi wa kweli,wamekuua sasa wanakimbilia kuimalizia CHADEMA.
 
Status
Not open for further replies.
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom