Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

Status
Not open for further replies.
Labda ni wakati wa kuanza kuwanyooshea viongozi wa Chadema makao makuu vidole. Haiwezekani mbunge wao anaeneza siasa za kibaguzi bado wapo kimya.
 
aende arusha au hata hapa dar akajaze watu

Kigoma ni magharibi, Arusha ni Kaskazini, DSM ni Mashariki...Yeye ni Mbunge wa Kigoma mashariki akiwakilisha Kigoma nzima; hataki ukorofi wa kwenda kwenye mikoa isiyo kuwa ya kwake. Home sweet home.
 
Status
Not open for further replies.
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom