Zitto, Shibuda na Mahusiano yao na CCM

Jamaa wanatangaza nia tu lakini hamlali kuwalaani akina Shibuda na Zitto kila siku,je CHADEMA ina wenyewe? Je CCM wakijivua GAMBA na kuvaa GWANDA si mtakufa kwa presha? maana wote wana nia ya kugombea URAIS 2015,lakini wanasubiri mchujo tu !

Bado EL hajatua mnaogopa ati asipokelewa,chama gani cha UKOMBOZI hiki?" Sasa hivi hamtapata kura za CCM kwa vile ni wanafiki na waoga.Tutaendelea kumtumia CAG na kuwatengeneza akina Utouh wengi ndani ya serikali ili tufikie malengo na si kujaribu chama mbadala cha kipuuzi kama CHADEMA.

CCM tushikamane,tukubali kuwajibika kwa wananchi na kuondoa wabadilifu wote bila kujali cheo chake..!

Chama cha magamba ndo cha waropokaji,arudi huko basi
 
Back
Top Bottom