Jamani hapa jukwaani kunatakiwa kuwa mahali pa wachambuzi makani.
sasa kama watu humu baso hawajaona jinsi mafisadi wa CCM walivyomwekea Zitto maneno mdomoni na kuyanyumbua basi watu hawa ni below standard kwa jukwaa.
Kwa kweli baada ya siku si nyingi itakuwa wazi kabisa kwamba Zitto alisema nini na maneno mengine yalitoka wapi?
Wewe vipi?, Sisi Mr DOWNS tumesikia live na kumuona live ITV.Tumesoma maandishi yake humu jamvini, usitake kupindisha mambo. Mafisadi hawakumwekea maneno mdomoni ila wamemrambisha FEDHA, akaziramba hizo Fedha, akaanza kubwabwaja kama mlevi wa mnazi. Period.