Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,329
nilijua kummunga mkono kwenye urais
Yule Mzee wa IPP tayari kila mtu anajua janja yake na jitihada kubwa anazozifanya katika kuangusha CCM, tunajua kila kitu alichokifanya katika kusaidia CDM na jitihada zake.
Kwa mwenendo huu siku ya mwisho atapata aibu kubwa sana na kama kawaida yake asije kulia hadharani maana kwa kulalamika na kulia kama mtoto wa kike ni namba Moja!
Alifanya hila kubwa uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mwishowe aliangukia pua sasa tunaratibu kila kitu na tutakuja kuweka hadharani.
mbowe yupo nyuma ya mengi anarimotiwa kama nyoka wa kutengenezwa
naona ugomvi wa mengi na muhongo utazua mjadala mkubwa siku za usoni.
mengi amegombana na wafanya biashara wengi sana wakiwemo manj na rostam sasa ameona akimbilie kwa wana siasa siku maadui zake wakijikusanya atakuwa pabaya sana
Yule Mzee wa IPP tayari kila mtu anajua janja yake na jitihada kubwa anazozifanya katika kuangusha CCM, tunajua kila kitu alichokifanya katika kusaidia CDM na jitihada zake.
Kwa mwenendo huu siku ya mwisho atapata aibu kubwa sana na kama kawaida yake asije kulia hadharani maana kwa kulalamika na kulia kama mtoto wa kike ni namba Moja!
Alifanya hila kubwa uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mwishowe aliangukia pua sasa tunaratibu kila kitu na tutakuja kuweka hadharani.
Tatizo Watz wanaccm wamejigeuza mazuzu. Prof. Muhongo wakati anakabidhiwa wizara aliikuta TANESCO inapata hasara ya bilioni 50, mwaka wa fedha ulioisha wamepata hasara ya zaidi ya bilioni 400. Kwanini kashindwa kupunguza hasara TANESCO. Huo uchapa kazi upo wapi? Kama TANESCO wangekuwa wamejiunga kwenye soko la hisa je, bei ya hisa zao ingekuwaje? Ufanisi wa Prof ni duni kwa vigezo vya kitaaluma. Hata lile alilolisema kwa kinywa chake limemshinda, "mgao wa umeme utabaki kuwa historia".halafu inaonekana hawaamini, waliamndamana kutaka muhongo asiondolewe eti kapeleka umeme wakasahau BRN
We mwehu, mbona unatuharibia mjadala kwa mahaba yako kwa mafisdi!naona ugomvi wa mengi na muhongo utazua mjadala mkubwa siku za usoni.