source ulioweka iko wapi? it is not linkable....ndio maana nikaweka source,acha kukurupuka na kuandika kisichoeleweka
Nasisitiza Zitto ni memba hapa(kama ndo ww mtimti sawa) aje hapa kwa jina lake aseme kama alivyokuja kutetea uamuzi wake wa ku'ngatuka, magaazeti yanaandika mengi Mkuu, hatahivyo sijasema kuwa ni uwongo!
Inatia matumaini. Ni uamuzi mzuri na kwa ustawi wa upinzania Tanzania. Hongera kwa kubadili uamuzi wako Zitto
Viti maalum bado vipo mpaka litimie lengo la asilimia 30 ya wabunge wabeijing bungeni.naombeni kujua utaratibu mpya utakuaje maana naskia hakutokuwa na viti maalum.. So what system will replace it?
Kama kweli Kulikoni waliandika kuwa Zitto atagombea "Jimboni mwake" (wakimaanisha Kigoma Kaskazini) basi watakuwa wamekosea, si huko tena! Lakini, muda muafaka ukifika atakuja 'mwenyewe' ndani ya JF kuwafahamisha ni Jimbo gani atagombea na sababu hasa za maamuzi yake.Source: Kulikoni.
Kama kweli Kulikoni waliandika kuwa Zitto atagombea "Jimboni mwake" (wakimaanisha Kigoma Kaskazini) basi watakuwa wamekosea, si huko tena! Lakini, muda muafaka ukifika atakuja 'mwenyewe' ndani ya JF kuwafahamisha ni Jimbo gani atagombea na sababu hasa za maamuzi yake.