Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Status
Not open for further replies.
Kwa mtu yeyote makini, atagundua kuwa huyu jamaa, anatafuta kuhurumiwa, sisi watu wa MARA, tunaamini, tumezaliwa Siku Moja, na tutakufa siku moja, ukitaka kufanya jambo lolote huhitaji kutangazia watu, kama ni uamuzi amua ijulikane.
Zito hana tofauti na mtu anayetaka kujiua kwa sumu, ananunua sumu na kusubiri chenji. Very STUPID.
 
nasikia amewaambiwa wananchi hatogombea ubunge safari hii lakini bado hajabainisha atafanya nini kama hagombei
 
Mwacheni afanye anachokiweza ilimradi havunji sheria.!
 
Zitto anaipeleka CHADEMA puta.

Mpaka BABU kaikimbia ofisi, eti anaenda kuwaeleza wananchi mabaya ya Zitto.
Zitto kasha rest in peace kisiasa. Hana uwezo wa kumpelekesha puta hata hawara yake aliyempiga mimba
 
CHADEMA hawaangalii umaarufu wa mtu, wanaangalia misingi ya chama. Kaburu ilikuwaje? Leo yuko wapi? Zitto nae ivyo hivyo.

Msingi wa chama au wa watu binafsi?Kwanza msingi wa chama unasemaje?
 

Ha ha haaaa kazi kweli kweli
 
Rich Pol,hizo picha unazo attach ni za lini ndugu yangu mwanaccm? (achana na hizo za Twitter)

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA hawaangalii umaarufu wa mtu, wanaangalia misingi ya chama. Kaburu ilikuwaje? Leo yuko wapi? Zitto nae ivyo hivyo.

Kumbe hata bodyguard alikuwa maarufu chamani.
 
Wote njaa zinawasumbua sio zito pekee yake, umesahau kafulila alitimuliwa na Nccr ya Mbatia, akaenda mahakaman wiki iliyofuata Mbatia akateuliwa mbunge na Rais akasahau ya Kafulila had leo

Kafulila aligundua makosa yake mapema sana so akaomba msamaha kwa chama na akafutakesi mahakamani na NCCR wakamsamehe kwahiyo walimalizana kabla hata mbatia hajaingia bungeni!.kifupi ni kwamba kafulila alisoma alama za nyakati mapema sana!!
 
Msingi wa chama au wa watu binafsi?Kwanza msingi wa chama unasemaje?
Tafuta mashtaka kumi na moja (11)aliyoshitakiwa nayo ndiyo utajua misingi, kanuni na katiba ya CHADEMA. Usiongee vitu vya kwanye JF pekee Sister.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…