Zitto: Nimetoka nyumbani kwa Nape kumtia moyo

sam2015

Senior Member
Dec 20, 2015
107
112
Nimetoka nyumbani Kwa Mbunge wa Mtama ndg Nape Nnauye kumpa Salam zangu za mshikamano na kumtia moyo katika majukumu yake ya kuhudumia watu wa Mtama Lindi na Tanzania Kwa ujumla.

Amenieleza kuwa anakwenda jimboni kwake ndani ya siku chache zijazo. Nataraji watu wa Lindi, bila kujali itikadi za vyama vyetu vya siasa, watampa mapokezi anayostahili
 
Nape be careful
 
Mhe Zitto mnaonaje upinzani muunganishe nguvu mapema kabla ya 2020 na ikiwezekana muunde chama kimoja? Fanyeni mapatano ya dhati tuwe na nguvu moja. Mnatuangusha kwa kweli. Umefanya Ibada kumtembelea shujaa Nape
 
Aisee ni km tulikua kwenye mjadala mmoja. Hv vyama vyote vya upinzani wangeunda timu moja kuelekea 2020
 
Back
Top Bottom