Zitto ni mjanja sana, Ofisi za ACT Wazalendo mikoani zina picha yake ukutani na sio picha ya Kiongozi wa sasa Dorothi Temu

Zitto ni mjanja sana, Ofisi za ACT Wazalendo mikoani zina picha yake ukutani na sio picha ya Kiongozi wa sasa Dorothi Temu

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,487
Reaction score
14,064
Screenshot_20250511_112635_com.facebook.katana.jpg

Screenshot_20250511_112615_com.facebook.katana.jpg

Staili za Vladimiri Putini wa Urusi.
 
Kile chama ni mali yake na baadhi ya Wapemba.
 
Zitto ni mtu mzito ukikaa kizembe unapigwa na kitu kizito.
 
Ogopa sana ubongo kujaa mawese.Hivi watu wakigoma walivyo wabishi ulishawagundua
 
Siasa ni biashara nzuri sana.

Imagine yule mwingine alikua anakikopesha chama.
 
Back
Top Bottom