acha maslahi binafsi think outHili linaelezeka mbona, kwani kinachopandisha mishahara kina uhusiano wowote na wafanyakazi hewa au kusitishwa kwa ajira? Hapa Zitto kateleza au kaamua kupiga siasa!
Mishahara imepanda lini...na kwav% gani??
Ipande wapi, iko pale pale hakuna hata cha incrementKuna hoja hapa, kila waziri husika akitangaza watumishi hewa huwa anataja na kiasi kilichookolewa sasa labda watueleze formula inayotumika. Au mishahara ya zamani imeshapanda!?
HUJAIELEWI HOJA YA ZITTO!Napata shaka hujaelewa nilichoandika kulingana na kile alichokisema Zitto. Zitto amesema bill za mishahara zimepanda hadi kufikia June mwaka huu pamoja na jitihada za serikali kuondoa wafanyakazi hewa na kusimamishwa ajira! Jibu langu kwa Zitto ni kwamba kupanda au kutopanda kwa bill za mishahara hakuna uhusiano wowote na uwapo wa wafanyakazi hewa au kusimama kwa ajira.
Maajabu ni pale Serikali inapotamba kuondoa watumishi hewa zaidi ya 16,000 ili kuokoa matumizi na kusimamisha ajira mpya lakini malipo ya mishahara badala ya kupungua yameaongezeka kwa bilioni 50 kutoka bilioni 520 kwa mwezi September 2015 + watumishi hewa na kuibiwa. mpaka Kuwa bilioni 570 june 2016 kwa mwezi Bila watumishi hewa na wezi wote wamefukuzwa na waliokuwa wanaishi kama Malaika Sasa wanaishi kama mashetani.
Maajabu ya namna hii yanapatikana Tanzania tu.
Chanzo
Soma hapa angalia mishahara ya June 2016 http://www.bot.go.tz/…/MonthlyEconomi…/MER%20JULY%202016.pdf
Soma na hapa angalia mishahara ya Sept 2015 http://www.bot.go.tz/…/MonthlyEconomic…/MER%20SEP%202015.pdf
*[HASHTAG]#Tumsaidie[/HASHTAG] Rais kufikia Tanzania ya Viwanda.*
Utafiti? Hizo data zipo website ya BOT unaita utafiti? Halafu ripoti ya wafanyakazi hewa na hela ambayo imeokolewa rasmi imetoka mwez wa nane, hiyo ripoti ni from sept 2015 to june 2016, licha ya hivyo hapo kati kati kuna waloajiriwa upya, kuna aarrears unahesabu vipi?Yaani haya ni majabu kwa namna ZZK anavyomchamba JPM tena kwa utafiti wenye data
HAWAJAONGEZA HATA SENTI NDUGU YANGULabda wameongeza mishahara.
UONGO UONGO UONGO! HAKUNA ALIYEAJIRIWA NA WALE WOTE WALIOKUWA HAWAJATHIBITISHWA WAMERUDISHWA NYUMBANI; USITUDANGANYEUtafiti? Hizo data zipo website ya BOT unaita utafiti? Halafu ripoti ya wafanyakazi hewa na hela ambayo imeokolewa rasmi imetoka mwez wa nane, hiyo ripoti ni from sept 2015 to june 2016, licha ya hivyo hapo kati kati kuna waloajiriwa upya, kuna aarrears unahesabu vipi?
Tafadhali toa maelezo. Mishahara haijapanda, nyongeza za mishahara hazipo, upandishaji vyeo hamna, ajira ziko frozen,...bill ya mishahara imepanda kwa sh. 50B.Hili linaelezeka mbona, kwani kinachopandisha mishahara kina uhusiano wowote na wafanyakazi hewa au kusitishwa kwa ajira? Hapa Zitto kateleza au kaamua kupiga siasa!
Hakuna hoja yoyote hapo, zitto kawachota, kuna miezi mingapi between sept 2015 to june 2016? Wafanyakaz hewa wameanza kutolewa ktk payroll lini? Hiyo miezi hapo katikati hakukua na ajira mpya? Hakukua na arrears? Hakukua na walopanda notch au kubadilika vyeo? Come on u guys sio kila mnachoambiwa mnabeba tu kama kilivyoKuna hoja hapa, kila waziri husika akitangaza watumishi hewa huwa anataja na kiasi kilichookolewa sasa labda watueleze formula inayotumika. Au mishahara ya zamani imeshapanda!?
Kama mishahara haijapanda gharama zitaongezekaje!!?Hili linaelezeka mbona, kwani kinachopandisha mishahara kina uhusiano wowote na wafanyakazi hewa au kusitishwa kwa ajira? Hapa Zitto kateleza au kaamua kupiga siasa!
Hakuna kilichoongezeka kaka,madaraja watu hatujapandishwa yaani ni shidaaLabda wameongeza mishahara.
mtukufu siamesimamisha Kuajiri? Au?Napata shaka hujaelewa nilichoandika kulingana na kile alichokisema Zitto. Zitto amesema bill za mishahara zimepanda hadi kufikia June mwaka huu pamoja na jitihada za serikali kuondoa wafanyakazi hewa na kusimamishwa ajira! Jibu langu kwa Zitto ni kwamba kupanda au kutopanda kwa bill za mishahara hakuna uhusiano wowote na uwapo wa wafanyakazi hewa au kusimama kwa ajira.
Utafiti? Hizo data zipo website ya BOT unaita utafiti? Halafu ripoti ya wafanyakazi hewa na hela ambayo imeokolewa rasmi imetoka mwez wa nane, hiyo ripoti ni from sept 2015 to june 2016, licha ya hivyo hapo kati kati kuna waloajiriwa upya, kuna aarrears unahesabu vipi?