Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

Ebale

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
943
1,682
Maajabu ni pale Serikali inapotamba kuondoa watumishi hewa zaidi ya 16,000 ili kuokoa matumizi na kusimamisha ajira mpya lakini malipo ya mishahara badala ya kupungua yameaongezeka kwa bilioni 50 kutoka bilioni 520 kwa mwezi September 2015 + watumishi hewa na kuibiwa. mpaka Kuwa bilioni 570 june 2016 kwa mwezi Bila watumishi hewa na wezi wote wamefukuzwa na waliokuwa wanaishi kama Malaika Sasa wanaishi kama mashetani.
Maajabu ya namna hii yanapatikana Tanzania tu.

Chanzo

Soma hapa angalia mishahara ya June 2016 http://www.bot.go.tz/…/MonthlyEconomi…/MER%20JULY%202016.pdf

Soma na hapa angalia mishahara ya Sept 2015 http://www.bot.go.tz/…/MonthlyEconomic…/MER%20SEP%202015.pdf

*[HASHTAG]#Tumsaidie[/HASHTAG] Rais kufikia Tanzania ya Viwanda.*


1473238204369-jpg.395553
 
Hawakawii kusema hiyo nyongeza ni watumishi wamelipwa arrears
 
tena inabidi siku akifungua nyongeza za mishahara kw a watumishi inabidi watu waongezewe toka mwezi wa 7
 
Back
Top Bottom