Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

kuna mahali serikali inajichanganya labda wapokee ushaur tu hakuna namna
 
mishahara kila mwezi ovyo ajira wamesitisha lakini hakuna cha maana tunachoona zaidi ya vijembe
 
Mishahara imepanda lini...na kwav% gani??

Napata shaka hujaelewa nilichoandika kulingana na kile alichokisema Zitto. Zitto amesema bill za mishahara zimepanda hadi kufikia June mwaka huu pamoja na jitihada za serikali kuondoa wafanyakazi hewa na kusimamishwa ajira! Jibu langu kwa Zitto ni kwamba kupanda au kutopanda kwa bill za mishahara hakuna uhusiano wowote na uwapo wa wafanyakazi hewa au kusimama kwa ajira.
 
Ni kwamba waliosimamushwa wanakula mshahara kusubiri uchunguzi na hapo hapo unaweka mwingine mpya kujaza nafasi ya alieachwa kwahiyo katika nafasi moja wanalipwa mshahara watu wawili aliyesimamishwa na mteuzi mpya,awamu ya tano ndio ufisadi utaongezeka Mara 2kuliko awamu zote,kwsbbu hakuna siasa wala kuhoji bungeni huo mwanya sasa ufisadi mbaya utatokea na matumizi ambayo mengine hayatangazwi
 
Hili mm naona kama linaweza kuwa na sababu ya kuajiri watu wengi mwishoni mwa mwaka jana, comparisoni nzuri ni pale walipo aza kuwaondoa watumishi hewa
 
Kuna hoja hapa, kila waziri husika akitangaza watumishi hewa huwa anataja na kiasi kilichookolewa sasa labda watueleze formula inayotumika. Au mishahara ya zamani imeshapanda!?
Ipande wapi, iko pale pale hakuna hata cha increment
 
Napata shaka hujaelewa nilichoandika kulingana na kile alichokisema Zitto. Zitto amesema bill za mishahara zimepanda hadi kufikia June mwaka huu pamoja na jitihada za serikali kuondoa wafanyakazi hewa na kusimamishwa ajira! Jibu langu kwa Zitto ni kwamba kupanda au kutopanda kwa bill za mishahara hakuna uhusiano wowote na uwapo wa wafanyakazi hewa au kusimama kwa ajira.
HUJAIELEWI HOJA YA ZITTO!
KAMA NILIKUWA NATUMIA MIL MOJA KULIPA WAFANYAKAZI 10. IWEJE NITUMIE MILION 1.5 KULIPA WAFANYAKAZI SABA WAKATI HAKUNA HATA MFANYAKAZI MMOJA NILIEAJRI WALA SIJAWAONGEZEA MSHAHARA HAO 7 WALIOBAKI? NDO HOJA HIYO
 
Maajabu ni pale Serikali inapotamba kuondoa watumishi hewa zaidi ya 16,000 ili kuokoa matumizi na kusimamisha ajira mpya lakini malipo ya mishahara badala ya kupungua yameaongezeka kwa bilioni 50 kutoka bilioni 520 kwa mwezi September 2015 + watumishi hewa na kuibiwa. mpaka Kuwa bilioni 570 june 2016 kwa mwezi Bila watumishi hewa na wezi wote wamefukuzwa na waliokuwa wanaishi kama Malaika Sasa wanaishi kama mashetani.
Maajabu ya namna hii yanapatikana Tanzania tu.

Chanzo

Soma hapa angalia mishahara ya June 2016 http://www.bot.go.tz/…/MonthlyEconomi…/MER%20JULY%202016.pdf

Soma na hapa angalia mishahara ya Sept 2015 http://www.bot.go.tz/…/MonthlyEconomic…/MER%20SEP%202015.pdf

*[HASHTAG]#Tumsaidie[/HASHTAG] Rais kufikia Tanzania ya Viwanda.*

!
!
Selikali iliomba iombewe sasa hii n miujiza itokanayo na maombi haya. By the way viwanda vinakuja na milioni hamsini kila kijiji
 
Yaani haya ni majabu kwa namna ZZK anavyomchamba JPM tena kwa utafiti wenye data
Utafiti? Hizo data zipo website ya BOT unaita utafiti? Halafu ripoti ya wafanyakazi hewa na hela ambayo imeokolewa rasmi imetoka mwez wa nane, hiyo ripoti ni from sept 2015 to june 2016, licha ya hivyo hapo kati kati kuna waloajiriwa upya, kuna aarrears unahesabu vipi?
 
UONGO UONGO UONGO! HAKUNA ALIYEAJIRIWA NA WALE WOTE WALIOKUWA HAWAJATHIBITISHWA WAMERUDISHWA NYUMBANI; USITUDANGANYE
 
Hili linaelezeka mbona, kwani kinachopandisha mishahara kina uhusiano wowote na wafanyakazi hewa au kusitishwa kwa ajira? Hapa Zitto kateleza au kaamua kupiga siasa!
Tafadhali toa maelezo. Mishahara haijapanda, nyongeza za mishahara hazipo, upandishaji vyeo hamna, ajira ziko frozen,...bill ya mishahara imepanda kwa sh. 50B.
Maelezo tafadhali.
 
Kuna hoja hapa, kila waziri husika akitangaza watumishi hewa huwa anataja na kiasi kilichookolewa sasa labda watueleze formula inayotumika. Au mishahara ya zamani imeshapanda!?
Hakuna hoja yoyote hapo, zitto kawachota, kuna miezi mingapi between sept 2015 to june 2016? Wafanyakaz hewa wameanza kutolewa ktk payroll lini? Hiyo miezi hapo katikati hakukua na ajira mpya? Hakukua na arrears? Hakukua na walopanda notch au kubadilika vyeo? Come on u guys sio kila mnachoambiwa mnabeba tu kama kilivyo
 
Napata shaka hujaelewa nilichoandika kulingana na kile alichokisema Zitto. Zitto amesema bill za mishahara zimepanda hadi kufikia June mwaka huu pamoja na jitihada za serikali kuondoa wafanyakazi hewa na kusimamishwa ajira! Jibu langu kwa Zitto ni kwamba kupanda au kutopanda kwa bill za mishahara hakuna uhusiano wowote na uwapo wa wafanyakazi hewa au kusimama kwa ajira.
mtukufu siamesimamisha Kuajiri? Au?

Back
Top Bottom