Wenye akili mgando ndio wenye mawazo hayo,watu makini uangalia yule atakaeleta chachu ya maendeleo katika nchi,suala la uzee au ukijana si tija!angalia zambia au Germany,marais wao wana umri gani?ukirudi Kenya je?mfano wako wa Senegal ni mfano mfu kabisa,Wa Senegal wanachompinga Wade ni kukiuka kwake katiba na si kwa ajili ya uzee wake!changamsha ubongo!
slaa alishinda na atashinda tena
Mkuu wala tusiende Mbali hapa jirani Zambia Michael Satta ana miaka mingapi?
Hayo ni maneno yenu siku zote na tumeisha wazoea, Slaa hakuchaguliwa na alishindwa kihalali !
Acha fikira za hovyo hovyo! Jadili kilicho kwenye mada usimjadili mleta mada, na kama ukigundua kuwa mleta mada ni m-chadema utafanya nini?! Bofya hapa upate uhakika Mohamedi Mtoi | Facebook
Acheni mambo yakusema 'kama nchi fulani......' sie watanzania tunasema Rais ajaye lazima awe kijana, nyie mkimlete mzee wenu Slaa jueni mmeumia
eti nyie Watanzania! Nyie wangapi?Acheni mambo yakusema 'kama nchi fulani......' sie watanzania tunasema Rais ajaye lazima awe kijana, nyie mkimlete mzee wenu Slaa jueni mmeumia
Ndugu zangu. Naomba msome makala nzima kabla ya kuchangia. Msichangie kwa kusoma kichwa cha habari tu. Hii ni makala nimeandika kama majibu kwa makala ya mwanazuoni mmoja kuhusu umri wa Urais.
Miye nitaweka makala hiyo kwenye blog yangu zittokabwe.com
CDM siku zote wanafanya kile wana CCM wasichokipenda.Mnampinga Dr Slaa kwa sababu mnajua mziki wake.Hata mtambike uchi Dr Slaa atagombea tena urais 2015.Na nakuapia ataapishwa kuingia Ikulu huku wewe unabaki kupiga porojo JF

Nakupa 5 Angel Msoffe,hata mimi hawezi pata kura yangu!puppet mwenye uchu na madaraka,si ajabu wana c.c.m wengi kumpigia chapuo kwa kua wanajua atadhoofisha upinzani/chadema
Mkuu wala tusiende Mbali hapa jirani Zambia Michael Satta ana miaka mingapi?
mmemuona jamani kajileta mwenyewe, GAMBA LA KENGE HILI limetumwa kuleta mvurugano, achaneni nalo hili.Hayo ni maneno yenu siku zote na tumeisha wazoea, Slaa hakuchaguliwa na alishindwa kihalali !
Kama ataapishwa na ww na utamuingiza ikulu ya nyumbani kwenu hapo poa, ila ile ya magogoni asahau ! kushika madaraka ya urais usidhani ni kile kikaratasi upigacho na kukitumbukiza kwenye sanduku, ni zaidi ya hapo. Kamwe hawezi kuwa rais , ila kuwa rais wa familia yenu hapo sawa.
Acheni mambo yakusema 'kama nchi fulani......' sie watanzania tunasema Rais ajaye lazima awe kijana, nyie mkimlete mzee wenu Slaa jueni mmeumia
mmemuona jamani kajileta mwenyewe, GAMBA LA KENGE HILI limetumwa kuleta mvurugano, achaneni nalo hili.
Hayo ni maneno yenu siku zote na tumeisha wazoea, Slaa hakuchaguliwa na alishindwa kihalali !