Mbunge mahiri na machachari kutoka chama makini Zitto Zuberi Kabwe ameweka wazi kuwa anautaka uraisi lakini akiwa atapata ridhaa kutoka kwa chama chake na wananchi kwa ujumla wao,
CHANZO: UDADISI: Rethinking in Action: ZITTO: "NDIO NATAKA KUWA RAIS"
Mwandishi na mleta mada inaonekana mna kinyongo na zitto!
The guy is good!! He can make some significant changes!
Hatimaye sasa nimejiridhisha pasipo na shaka ni kwa nini zitto Kabwe ni swahiba mkubwa wa Deputy Director wa Usalama wa Taifa ndugu Jacky Nzoka, Zitto aje hapa kuuelezea umma wa JF ni sababu zipi za msingi zilizokuwa zinamfanya awe na mawasiliano ya mara kwa mara wakati chama chake kiko katika uchaguzi mkuu na Idara ya usalama wa Taifa ndiyo ilikuwa inaihujumu CHADEMA? hapa sitalajii jibu rahisi kwa swali gumu.
Pili Ben Saanane nimekuwa nikifuatilia mabandiko yako kwa makini sana na kuna kipindi nilidhani huwa unaonewa, kumbe nilikuwa najidanganya, humu jamvini umejipambanuwa kwamba wewe ndio unayejuwa siasa na yeyote ambaye atakuwa kinyume na mtazamo wako basi wewe utambatiza kila aina ya jina mara mnafki mara hivi mara vile, kumbe sasa nimejiridhisha ni kweli chama chako kiliposema huna maadili hakuna walipokuwa wamekosea, kwa nini unatetea Alliance ndani ya chama? narudia kukwambia tena jifunze kwa John Mnyika, yule kijana anaaminika machoni pa watu kwa sababu he is humbled,......jiulize ni kwa nini kijana mmoja Mnyika alundikiwe vyeo na nyinyi wasomi mpo? endelea na Alliance. zako.
Kwanza ni zamu ya Wakristo. So long as Zitto ni mjahidina asubiri mpaka 2025
nafikiri zitto anajiona sasa ameshafikia kilele cha safari yake kisiasa na itamcost,suala la yeye kuwa na ndoto ya kuwa raisi si tatizo,kwa stage aliyofikia naamini kabisa kama amekurupuka cha msingi ni yeye kuendelea kujijenga zaidi kisiasa ndani na nje ya chama ili na wafuasi wake pamoja na watanzania kwa ujumla tuendelea kuwa na imani nae hata hapo baadaye atakapo kuja sasa na tamko kama hili watu tumuamini,vinginevyo anampango wa kutuvuruga
Holy c.r.a.p!!!!
He was saying his dreams!!! He even said if his party will ALLOW HIM!!! if not he will support any one endorsed by his party!! WHATS WRONG WITH THAT???
Holy c.r.a.p!!!!
He was saying his dreams!!! He even said if his party will ALLOW HIM!!! if not he will support any one endorsed by his party!! WHATS WRONG WITH THAT???
Kwanza ni zamu ya Wakristo. So long as Zitto ni mjahidina asubiri mpaka 2025
Kwanza ni zamu ya Wakristo. So long as Zitto ni mjahidina asubiri mpaka 2025[/QUOTE.....Maumivu huanza pole pole!!!
kwani we nani mpaka unihoji?