uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,481
- 928
compare and contrast behavior of jaji werema and mr.nguruvi3
Hiyo ni misukule isiyojitambua.
compare and contrast behavior of jaji werema and mr.nguruvi3
Could it be the one?
... Kwa upande mwingine, ZZK amedhihirishia umma kwamba CCM ni genge la weziTangu alipotimuliwa Chadema na wenzake kina ProfesaKitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe amefanya juu chini kupitia kamati yake ya PAC kurudi kwenye mstari.
Kashfa hii ya Escrow imembeba sana na huenda umaarufu wake ukawazidi Chadema waliomtimua. Inawezekana ugomvi wake na Mbowe ilikuwa ni uenyekiti tu. Baada ya hapo labda wanaweza kupatana au kama akihamia chama kingine anaweza kung'ara.
Niliwaona jana wabunge wa Chadema wakimshangilia Zitto na kamati yake baada ya kuwasilisha ripoti.
Yetu macho
Daniel chongolo wapanik nini sasa?Kiazi baba yako na mama yako punguani wewe huyo baasha wako unayemtetea ndiyo anakufundisha matusi uje kutukana humu shika adabu yako.
Could it be the one?
halaf tabia zenu zakufanana fanana, sijui mlilishwa nini maskini hadi mkaamua kutotumia vyema fursa ya elimu mliyopewa???compare and contrast behavior of jaji werema and mr.nguruvi3
Hawa ndiyo vijana wa Nguruvi3 mateka wa Mbowe eti wanapambana na Zitto.Daniel chongolo wapanik nini sasa?
Tena anatumika kwa mafisadi na Singasinga alimpa milioni 6 teh teh teh.Makamanda huyu Zitto ni msaliti, anatumika na maCCM, hahahahah natamani kamanda mmoja aende kwenye majukwaa then aseme Zitto anatumika na maCCM
Makamanda huyu Zitto ni msaliti, anatumika na maCCM, hahahahah natamani kamanda mmoja aende kwenye majukwaa then aseme Zitto anatumika na maCCM
halaf tabia zenu zakufanana fanana, sijui mlilishwa nini maskini hadi mkaamua kutotumia vyema fursa ya elimu mliyopewa???
Alinifurahisha tundu lissu alipompa mkono zito!!
Heko kwa zitto kabwe na kamati yake.
Tehtehteh mara ya kwanza kafulila anapasua yai bungeni kwa kupewa mtonyo na Zito kuwa akaulipue kwani yeye hatoweza bado ana matatizo na mivutano ya mahafidhina ndani ya chama chake Kafulila akawa anashambuliwa na viongozi waandamizi serikalini na kwenye kumshambulia Kafulila wakawa wanamuunganisha na Zitto kama ndo aliyeko nyuma ya hii agenda kwa kupewa mtonyo na akina Mkono na The Citizen. Ndipo zitto akaamua kujitosa moja kwa moja front line.
Wakati wote huo CHADEMA walikataa kutoa ushirikiano kwa kuona kama vile Madogo wanaenda kupata maujiko, kwi kwi kwi kwi kwi. Angalia ishu ya EPA na BUZWAGI chama chote kilisambaa nchi nzima kwenda kuutangazia umma wa watanzania madudu yanayofanywa na serikali ya ccm. Why kwenye TEGETA ESCROW chama hakikuibeba hii ajenda na kupiga kelele za kutosha kwa watanzania na zaidi zaidi ikabaki kuwa kauli ya mtu mmojammoja tena kwa mbaaali!!!
Wivu tu kuwa hii ajenda ya Sisimizi(tumbili) na msaliti tukiipa nafasi kama chama hawa watu watapata ujiko na kuonekana kama wanasiasa bora kabisa kwenye medani za kisiasa hapa bongo. Kwi kwi kwi kwi kwi.
Sasa kituko cha mwaka na kipimo chao cha unafiki nasikia wanaenda kuzindua ajenda ya OPARESHENI ONDOA UFISADI. Yaleyale ya kudandia agenda za watu. Kama kweli mlikua na nia njema siku zote wakati tunapambana na hii ishu ya escrow huku mkitutukana na kutudhihaki maneno mbalimbali kupitia vibaraka wenu akina MCHAMBUZI NA NGURUV3 mlikua wapi??
Kitu nilichokigundua CHADEMA kama Taasisi ni chama kizuri sana ila kimepalamiwa na vibaka,wafitini,matapeli na mafisadi kama walioko ccm na ndo wanaokifanya kisiwe na taswira nzuri kwa baadhi ya watu.
Laiti kama Demokrasia ya kweli ndani ya chama ingeshamili na chama kikaongozwa na watu wenye mvuto, wasomi,ushawishi na uwajibikaji naomba niseme toka uchaguzi wa 2010 na hizi chaguzi ndogondogo tungekua tunaongea habari nyingine kabla ya 2015.
compare and contrast behavior of jaji werema and mr.nguruvi3
Could it be the one?
[/QUOTE] Labda niwaambie jambo moja waungwana. Huku kuhangaika kwenu kuhusu Nguruvi3 ni nani hamtafanikiwa. Nguruvi ni muungwana sana, anasimama katika ukweli, anaishi maisha yake, hategemei mkate wa mtu,ni mume mwenye vijana na mabinti. Nacheka sana mnapohangaika.
MATUKIO YA NCHINI TANZANIA
MSIMAMIZI WA SHERIA ANAPOVUNJA SHERIA
ESCROW YAKWEPESHWA KIAINA, LENGO KUFICHA UOVU
Bado tunafuatilia suala la mashariki ya kati kwa ukaribu.
Hadi sasa Marekani imepeleka wanajeshi 800 kwa walichosema ni kulinda ubalozi na interest za Marekani
Kwa sababu hizo, itabidi walinde uwaanja wa ndege, wanadai.
Inachoogopa Marekani ni mashambulizi dhidi ya Sunni, au kuwasaidia Shia.
Pia wanataka kumuondoa Nur Al Malki kwa namna ambayo haitwaudhi Mashia. Tutaendelea kuhabarisha k
Hapa nyumbani kuna tukio lisilo la kawaida katika siasa za nchi. Mwanasheria mkuu alitaka kumpiga mbunge. Mtunza sheria anaposimama mbele ya chombo cha kutunga sheria ili avunje sheria alizopewa azisimamie ni jambo lisilo la kawaida kwani halijatokea tangu tumepata Uhuru.
Mashaka zaidi ni weledi wa Mwanasheria Werema anayeanatoka 'kimtaani' kwa kuudhi na kudhalilisha.
Ni Jaji kwa wadhifa, matarajio ya umma ni uwezo mzuri wa kutambua, kuchambua na kuamua kuliko raia
Inapotokea majibu yake hayalingani na Kiwango, inatia shaka sana.
Hasira zake zilizopelekea ''ngumi mkononi '' zimetokana na suala la kutiwa Mtuhumiwa.
Utuhumiwa unatokana na mazingira tata ya pesa za Escrow ambazo hazina majibu ya kueleweka.
mbunge Kafulila kauliza baada ya kulindana kusiko na sababu. Escrow, ni sehemu ya tatizo la IPTL.
Spika Anne Makinda akazuia kuundwa tume huru ya bunge. Walichokifanya ni suala linapelekwa kwa uchunguzi PCCB, CAG na Polisi.Hivi ni vyombo vya dola haviwajibiki kwa bunge.
Taarifa zake zinapelekwa serikalini ambako kuna watuhumiwa wakubwa.
Mtandao kufisadi kiasi umeenea serikalini kama alivyotajwa katibu mkuu Maswi, bunge kwa Mwanasheria mkuu, BoT n.k. Hao wote wametajwa tu kama tuhuma na duru tunabaki kusema ni tuhuma.
Hii inatoa picha kuwa hakuna PCCB,CAG au Polisi anayeweza kuvuka uzio uliotengenezwa.
Suala la Richmond, PCCB walitetea uhalifu. Leo tunajua uchafu ule na watu waliohusika.
Njia ya kufunika uhalifu huu wa Escrow ni taarifa na uchunguzi unafanywa na serikali inayotuhumiwa.
Ni mazingaombwe yanaendelea, utajulikanamiaka mingi ijayo si leo
Mwanasheria Werema alipoombwa atoe ufafanuzi, alikimbilia hoja ya kumwita mbunge Tumbili.
Hilo tu kwa mtu wa hadhi yake ni dhalili sana. Mzee wa umri hapaswi kuzungumza matusi hata kama ni sehemu ya malezi au utamaduni. Nafasi yake ni ya kimataifa na kitaifa, anapaswa kujua neno la kawaida kwa raia kwakwe ni habari.
Hata alipofanya hivyo Spika alimkingia kifua, dalili kuwa mtandao wa kulindana ni mpana sana.
Spika hawezi kusimamia kanuni, mwanasheria hawezi kusimamia sheria, nchi inajiendea kama boya.
Hoja hapa ni kuwa wakati umefika hatua za makusudi za kurudisha serikali yenye nidhamu na heshima mbele ya umma zichukuliwe.
mawaziri kusotana vidole, wabunge kuchoma madole, waziri naye kusema mbovu kwa waingereza, mwanasheria kutaka nafasi ya tyson na upuuzi mwingine ambao hauhitaji microscope kuubaini.
Matukio ya namna hii yanazidi kuonyesha, udhaifu, ombwe na dhalili ya serikali ya leo.
Tusiposema uchafu huu unaofumbiwa macho na JK utageuka kuwa utamaduni.
Tayari watu kwama katibu mkuu Maswi hawajibu hoja wala kufafanua, ni kuonyesha ubingwa wa kutukana . Rais yupo kimya, why?
Werema na Maswi wanapeleka ujumbe kuna kulindana. Kinyume chake watmishi hawa wa umma wasingekuwa na jeuri ya kuudhalilisha umma.
Unapotukana mbele ya kipaza sauti ukiwa mwanasheria au katibu mkuu unaudhalilisha umma wa Watanzania.
Tusemezane