KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Ukilenga CCM kuendelea kuwakandamiza na kuwanyima HAKI waTanzania, kwani hili nalo ni gumu kulielewa mkuu wangu'Mr Q'!Mpango ukilenga kitu gani hasa
Kwani serikali na CCM wanayofanya yote haya kwa sasa hivi mpango wake ni upi hasa, mkuu, unaweza kueleza tuelewe?