Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.