SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
Mumechoka? Nendeni labour ward.
Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.
Wanakuchosha wewe na nani bwana, kama ulivyosema" nawashauri "hivyo hivyo sema "MNANICHOSHA",elewa maana ya umoja na wingi nyau wewe.Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.