Zitto na Lissu mnatuchosha sana

Zitto na Lissu mnatuchosha sana

We ni muongo mtukuka ! Kwann ukubali kuchoshwa?c uache kuwa angalia ?mbona huchoshwi kiranja wako wa kijani anapoweka binadamu kwe viroba na mawe na kuwalaza ruvu?mbona huchoshwi na uongo wa serikali ya ccm kukataa njaa na wakati ipo, tena wazi ? Mbona huchoshwi kagera kuambiwa ukimwi wao tetemeko wao ! Kuna anayeomba afikwe na mabaya ? Ww ndo ukague fikra na mdomo wako kabla huja achama kutema uozo unaoutoa ! Kujikomba gani huko mpaka unakosa staha !yaani unatwambia Lugha za kiranja wako anazotoa dhidi ya wananchi ni za staha ? Na zinafaa ? Km ndivyo,bac ndo maana na we unatoa hiyo minyoo kinywani mwak😵NA AIBU WW KIUMBE !
Unafikiri anachoshwa basi. Anaumizwa sana ndo maana kaamuwa kuongea. Namshauri ajiue tu maana bado mbali mpaka ifike 2020
 
Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.

Hawa ni watu wa kuwalostisha tu.....hawaishi kupotosha watu ili wapate kiki.
 
Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.
Umechoshwa na mmeo kukuzalisha mitoto kibao bila matunzo unaamua kuwasingizia watanzania wamechoshwa? wewe mwenyewe ndiyo umechoka kubeba mimba usiwasingizie wananchi wengi ambao wameamka hawataki ujinga wenu.
 
Tatizo hawataki kuwa viongozi wanataka kuwa wanasiasa mbona wakati wa kikwete walikaa kimya wakati mafisadi yanakula hela leo hii mafisadi yamebanwa wanakasirika huo ni uchanga wa siasa
Lugumi yupo kipindi hiki cha dikteta ameguswa?
 
ww2020 bado upo nyumbani kwa Lipumba? au bado unalala ofisini buguruni? vp sakaya bado unamfanyia ukuadi? Acha tabia za kuwasingia watanzania kuwa wamechoshwa wakati ndiyo kwanza wana uchngu na nyie kula pesa za Umma kwa mipango haramu.
 
Zitto ulikuwa unakuja vizuri angalia ulopokaji mwingi unakufanya watu wakujue vizuri wa some watanzania wakoje nawe uende no hivyo hivyo cha kwanza watanzania ni waoga na huwa hawspendi bla bla za mane no mengi .lissu hana mvuto. Kwakweli ukimungalia tu u najua anadharau chadema mmecheza lafuuu
Huu ni mtizamo wako binafsi huko gheto kwa Lipumba lakini watanzania wengi wanawakubali na hawajachoshwa wanataka amsha amsha zaidi ya hii ya sasa,wanataka kipindi hiki Wapinzani watapike nyongo zote hata kama wewe na Madalali wa siasa akina Lipumba mnakasirika.
 
ona aibu mtanzania gani? jisemee peke yako

usisemee wengine......kila mmoja anautashi wake.
Naunga mkono hoja watanzania wengi kwa sasa wanawakubali Wapinzani hawataki kuficha ficha maradhi
 
unalalmika hilo na hapo ndoto ya Lema bado, si mtakufa kihoro
 
Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.
Hata wewe unajitambua kimawazo na kiakili? duu basi hakuna asiyejitambua
 
Mitanzania mingine bana inapenda unafikii, leo nilikuwa sokoni manzese kilo ya mahindi 1300, hivi watanzania wangapi hata hapa mjini wanaweza ku afford?? Acheni siasa, tangazeni kuna njaa. I support Zitto, Lissu - unafiki siwezi MWenyeziMungu anisaidie.
 
m2020 ! zito na lisu wanakuchosha kwa kipi hasa? au ww umenunuliwa? sisi tunaomba wapatikane watu wa kupaza sauti we ndio kwanza unawakatisha tamaa, ama kwel nimeamin we hamna kitu ndugu yangu!! kwa iyo we unavyoona tz mambo yanaenda sawa? acha wafunguke tu sisi tumeshachoka
 
Zitto ulikuwa unakuja vizuri angalia ulopokaji mwingi unakufanya watu wakujue vizuri wa some watanzania wakoje nawe uende no hivyo hivyo cha kwanza watanzania ni waoga na huwa hawspendi bla bla za mane no mengi .lissu hana mvuto. Kwakweli ukimungalia tu u najua anadharau chadema mmecheza lafuuu
Mr President baba kilaza wa Taifa Jesika ndo mlopokaji. Sasa akilopoka mara nyingi atajibiwa mara nyingi hivyo hivyo
 
Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.
Unachoka kwa sababu unatumia nguvu nyingi katika kuelewa vitu vyepesi vyepesi.
 
Nawashauri kabla ya kutoa matamko yenu na kushauri serikali yetu hebu jaribuni kushirikisha kwanza hekima, busara na maarifa viwape mwelekeo kabla ya kutenda. Karibuni mmekuwa na mikurupuko mingi ya kisiasa inayowaweka rehani. Nawashauri mjitafakari sana kwani mnatuchosha sana watanzania wenye uelewa na tunaojitambua kimawazo na kiakili.
Masifuri hajakuchosha? au kwa sababu akili zenu ndo hizo hizo mnafanana, matope kichwani!
 
Wananchi bwana baada ya kupiga kura mnataka kukaa kimya mpaka uchaguzi mwingine... taifa hai haliendeshwi hivyo. Mijadala ni muhimu sana kwa ajili ya manufaa ya Taifa... hatujui kwamba anaetuongoza na yeye ni binadamu kufanya makosa ni sehemu obvious.
 
Back
Top Bottom