Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,011
- 74,659
Ni kweli wametuchosha. Ona sasa huyu Zitto amefanya tugundue kuwa mzee Katelefone kuwa naye ni Muongo na mtu wa Sound kuliko hata Mwijage? Eti tuna tani milioni 1.5 ghalani. What a joke! Yaani yeye kasoma mahali kuwa China wana akiba hiyo basi anatupiga sound kuwa ni kwetu!
Lissu naye hafai kabisa, kamwita jamaa uchwara wazee wakakasirika sasa eti anamwita mtakatifu ndio wamekasirika zaidi. Mbona anawatia puresha hivi wazee? Wametuchosha sana! Kwani wanashindwa nini nao kuitikia kile kibwagizo cha "ndiooo mzeeee!"