Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Wapi nimefananisha?!?!
Samahani mkuu, pengine hujafananisha! Ila msisitizo wako kuwa hakuna kilichomtokea Msiba baada ya kuchimbwa biti na Zitto, hivyo Zitto hafai kwasababu hiyo, nikaelewa kwamba unamfananisha Zitto na yule jamaa ambaye ni unintelligent to the extreme!

Sijui kama jamaa ana undugu na Elvis Musiba wa zile novel za Willie Gamba! Pengine amerithi kipaji Cha kutunga, ambacho ccm kinalipa kwasababu ya ufwatuaji wa uongo!
 

Lissu alipokuwa akiripot alikuwa anajitengenezea mazingira?
 
Ushauri Wangu Wamuache Tuu ZITTO Aendelee Kufanya Siasa Zake. Kwani Kila Mtu Ana Uhuru Wa Kukosoa Pale Ambapo Anaona Kuna Shida Katika Utendaji Wa Mambo Mbalimbali Ya Kiserikali.
 
Mnapanga njama za kumteka, huku mkidai kuwa anajitengenezea sinema ya kutekwa??

Huyo hamumuwezi, kwao kaaga, mkijaribu tu mtarudi makwenu vichwa chini!
 

Wewe fikiria unae kuku wa kisasa halafu anajichanganya na kuku wa kienyeji, unategemea nini hapo?

Zitto amlaumu jogoo wa ng'ambo ya pili maana alionekana akimuita huyo kuku wa kisasa kwa ule milo wake wa mvuto na hapo ndipo akapotea na kuku huyo.

Sasa utasingizia vipi baba mwenye nyumba.

Akili za Zitto ndizo hizo tena.
 
Wewe una*wa siyo bure!!.... Kama anaona viashiria vya hatari asijihadhari??!
 
Source tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…