Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Nakumbuka kuna siku polisi walikuwa wanamsubiri ashuke jukwaani wamkamate,baadae hawakumuona!Ilibidi wamwambie tu areport kituoni!Mbona siku ile alijibanza kwenye ukumbi wa bunge hadi Ndugai alipompa lift.......mbona hatukuliona hilo bwawa!
Katibana huyu wanataka kumteka HAWA MAGAIDI..
ivi pombe unazungumzia kulinda amani ipi ?
Ni upupu kwa maoni ya asiyetafakari na asiyejua!Huu upupu uliouandika ndio unajiita GT, we jamaa ni hopeles kabisa
Zitto anamchokonoa mkuu![emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] Mwami hata sisi hatujui....
[emoji848][emoji848][emoji848] Kwan yumo humu mkulu???Zitto anamchokonoa mkuu!
Nimecheka sana!Zitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda
Hahahahaaaaaaaaa,kweli mmebanwa mbavu!Binadamu hawezi fananishwa na kuku
Nipo jirani na dumu la petrol Mkuu, ukitaka kuwasha sigara yako sogea mbali.Nina Sigara. Nani ana kibiriti?
Kweli kabisa,halafu wakapotea leaving no trace!Tunaambiwa ni wazungu ila waliodakwa ni wabongo!Kwa kweli kila kitu kinaangukia huko aisee its not simple as that ku pull a job like that in areas like those.
Siku za hivi karibuni Mbunge huyu kutoka Kigoma amejigeuza kuwa mwanaharakati kwa kushutumu Serikali katika kila jambo.
Hii ni tofauti sana na uanasiasa wa kitanzania.
Halipiti juma moja bila ya zitto kupost shutuma bila ushahidi dhidi ya Serikali.
Wachambuzi wa mambo wanaona ni kama vile anajiandaa kwa kufanya au niseme kujifanyia tukio la kudhuru ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Pengine lengo lake ni kuona Serikali inachafuka baada ya kukamilisha hiyo 'sinema ' yake.
Je unaishauri nini Serikali ya Magufuli kuepuka mtego huu?
Kweli kichaa hajijui kama ni kichaa,Ni upupu kwa maoni ya asiyetafakari na asiyejua!