Hoja zako hazina mashiko mkuu, maana moja ya kazi za vyama vya upinzani ni kuikosoa serekali na kuipa serekali changamoto ya utendaji wa kazi ili ifanye zaidi.
Vyama vya upinzani sio wajibu wao kusifia utendaji wa serekali, japo wakati mwingine hakuna budi inabidi kusifia mazuri.