Mi huwa nawashangaa sana watu kwanini Zitto akifanya move yeyote utasikia wanakuja watu kumshauri mbona wanasiasa ni wengi tu hawaaaingaiki naoHaya tusubiri Ba ***** atakapokabidhiwa mikoba ya uenyekiti wa chama ni kipi kitamponyoka....uraisi au uenyekiti. Wewe umemwona zito tu mbona wako wengi tu walioshika mbili?