kabla ya uchaguzi pia mlisema Zitto atausikia ubunge radioni, sasaiv mnasema 2020. Nadhani waha ndio wanajua thamani ya Zitto na ndio sababu lleo ni mbungekumbe wewe unawajua waha vizuri. wakiamua ndo wameamua! wanamsoma tuuuu 2020 mtasikia!
hahahahaaaaaa jitekenye tu. Ka muulize selukamba kama hakukimbia vijijini mda ulipofika!kabla ya uchaguzi pia mlisema Zitto atausikia ubunge radioni, sasaiv mnasema 2020. Nadhani waha ndio wanajua thamani ya Zitto na ndio sababu lleo ni mbunge
Leave Zitto alone. Anaweza kuwa hata na majukumu 10 na akayamudu. Mbona mleta hoja anamudu majukumu ya familia yake, wakati huo huo anafanyakazi ya kuajiriwa? Hayo mbona ni majukumu mawili tayari?
hahahahaaaaa jifariji tu uone. wewe unafikiri kukuza chama kichanga na kuwa mbunge ni kazi rahisi? cheap mind!Leave Zitto alone. Anaweza kuwa hata na majukumu 10 na akayamudu. Mbona mleta hoja anamudu majukumu ya familia yake, wakati huo huo anafanyakazi ya kuajiriwa? Hayo mbona ni majukumu mawili tayari?
Leave Zitto alone. Anaweza kuwa hata na majukumu 10 na akayamudu. Mbona mleta hoja anamudu majukumu ya familia yake, wakati huo huo anafanyakazi ya kuajiriwa? Hayo mbona ni majukumu mawili tayari?
specialization is for insects. Man
cheap mind!
benjamin flanklin, leading author, printer, political theorist, politician, freemason, postmaster, scientist, inventor, civic activist, statesman, and diplomat and the founding father of the US nation.cheap mind
hahahahahaaaaaaaaa. sisi waha runataka maendeleo basi. hayo mambo yako hatutambui.benjamin flanklin, leading author, printer, political theorist, politician, freemason, postmaster, scientist, inventor, civic activist, statesman, and diplomat and the founding father of the US nation.
SPECIALIZATION IS FOR INSECTS
Umewahi kumpa mchezo upi?Hivi zito unamchukuliaje wewe ? ZZK ni kijana anayeweza kucheza michezo yote, Hatetereki hata umpe vyeo.
dice gameUmewahi kumpa mchezo upi?
Acha kujidanganya maendeleo bila harakati hayaji, mbunge gani goigoi bila amsha amsha kwa serikali atakuletea maendeleo/? kaa hivyo hivyo chini ya mchikichi uendelee kula bangehahahahahaaaaaaaaa. sisi waha runataka maendeleo basi. hayo mambo yako hatutambui.
Na ww kama huna cha kupost si ungetumia cm ya tochisasa kama huna cha kuchangia si ungekaa kimya tu. hujielewi kabsa.
Adui wa muha ni muha mwenzake.Hii mada ya hovyo kabisa