rusesa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 538
- 233
Habari wana JF,
Leo naomba nizungumzie kofia mbili za mbunge wa Kigoma manispaa ujiji.
Kofia hizo ni;
a) Mbunge wakigoma manispaa ya ujiji
b)Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo.
Sasa wapi penye uzito? Hakuna mtu aliyeweza kushika mambo mawili na yote yakaenda kwa usahihi.
Majukumu ya kofia ulizonazo ni kama yafuatayo;
a) Kuwatumikia wananchi wa kigoma ujiji, hasa wananchi wanyonge. wanapoonewa!
b)Kutetea wanyonge jimboni kwako kila mda uhitajikapo.
c)Kusimamia kazi za chama chako.
d)Kubuni njia za kukuza chama.
e)Kuwaletea wananchi wa Kigoma manispaa maendeleo mfano barabara, maji, umeme wa uhakika n.k.
f)Mengineyo yaliyojificha.
Ndugu yangu Zitto naona sasa hivi unapambania chama chako huko Dar es Salaam. Kumbuka kuwa 2020 itafika. wananchi kama hawatapata maendeleo huko mbele ubunge utausikia mtamboni.
Mwisho: Mshika mbili moja humponyoka.
Nawasilisha!