Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

Hahaha wao wanasema hakuna mlalamikaji. Na lisu na dereva hawajaandikisha maelezo popote, hivyo hawawezi kuchunguza.
Kwa hivyo ndivyo polisi wa Tanzania wanavyofanya kazi ina maana mkiuwawa, hakuna uchunguzi kwa sababu hakuna mlalamikaji....!!!! Basi hatuna polisi nchi hii.
 
Tumesha mzoea huyo na kujidai na mahusiano mazuri. Alitumia pia mahusiano yake mazuri na CAG mshenga wake akatudanganya kuwa CAG hawezi kuitwa na kuhojiwa na kamati ya bunge. Wote tulishudia hatima ya upotoshaji wa Zitto.
Ipotoshaji upi?Kesi ya kikatib iko mahakamani?
Haya,CAG aliamua kwenda kuwaonesha jinsi bunge lilivyo dhaifu!Wamemfanyaje?
 
This has always been an open secret. Haiingia akilini Jeshi la Polisi kuacha kufungua jalada na kuchunguza tukio kubwa kiasi hiki. Lakini mwisho wa siku hao wakuu wa jeshi hili watakuwa wapi hao wanasiasa watakapokuwa wametoka madarakani? Imani yangu mimi baada ya hao wanasiasa kuondoka madarakani Tanzania itazaliwa upya kama ambavyo tunashuhudia Ethiopia. Watu wengi watakuwa na mashataka ya kujibu kwani kufanya hivyo ndio utakuwa mtaji wa kisiasa wa uongozi mpya wa nchi hii!
Polisi wamejidhalilisha kwa kukubali kutumiwa na wanasiasa.
 
What goes around will come around natamani kuona ma ccm wanakua wapinzani siku moja
 
Kwa hivyo ndivyo polisi wa Tanzania wanavyofanya kazi ina maana mkiuwawa, hakuna uchunguzi kwa sababu hakuna mlalamikaji....!!!! Basi hatuna polisi nchi hii.
Hahaha ukisha kufa wanasema tunasikitishwa sana, na tutachunguza kuwabaini waliofanya hivyo. Machungu yenu yakiisha uchunguzi nao unakua umeisha.
Wanasema bwana ametwaa na nimapenzi yake.
 
Wote tunamjua aliyeamrisha mauaji ya TL. Wote tunajua aliyesimamia zoezi la mashambulizi. Tusiowajua ni wale waliofyatua risasi.

Tupo katika laana kuu kwa kuwa shetani tumempa kiti cha enzi.

Sala zetu ziwe dhidi ya hawa wauaji na mawakala wao waliowajaza humu JF. Wao na wazao wao lazima siku moja wajutie uovu wao. Lakini wana nafasi ya kutubu maana Mungu ni mwingi wa msamaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijali bibi yetu coco, najua uzee nao unachangia kupoteza kumbukumbu.

Unataka nikufukulie makaburi, huoni kuwa nitakupa tabu?

Ha ha ha haaaaa
Kwani lazima nijue kila habari.. ningekuwa kwa chama au inabidi niyajue hapo ningesema umenena vyema.
 
Back
Top Bottom